MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

Hahaha...huyo mumeo mbona ana wasiwasi hivyo...
Basi mwambie kuna fanksheni ya ofisini zile za mwisho wa mwaka...

atakuja hapo oficini au atawapigia marafiki zangu kha mimi ninakero sana mimi ni kazininyumbani no else ukichoropokea mwenge jmosi utapigiwa simu mpaka ujeuze hahahaahah ndoa ndoano
 
watu8 mi ntaomba kunyonya tu...ts bin looong:becky:

Usijali mkuu kuna mayaya toka CARRIBEANs na VENEZUELA nitawadondosha mitaa hiyo kunyonyesha watoto wakubwa wa kiumeni...chumba weka booking kwa Madame B
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuuuuuuu,

Sikujua kwamba watu wa Dar wana roho ya korosho....
Yaani hata wawakalishi wa Club kubwa hamtaki kuwapa mialiko....

Ngoja niwasiliane na mwenyekiti  wa ukweli&nbsp (PakaJimmy) tuwapigie dua...

Babu DC!!
 
atakuja hapo oficini au atawapigia marafiki zangu kha mimi ninakero sana mimi ni kazininyumbani no else ukichoropokea mwenge jmosi utapigiwa simu mpaka ujeuze hahahaahah ndoa ndoano

Time yako ya kurejea nyumbani on Sat's ni muda gani....najitolea kukurush home kwako hata kama ni saa 2 usk, watu8 anataka uwepo
 
Usijali mkuu kuna mayaya toka CARRIBEANs na VENEZUELA nitawadondosha mitaa hiyo kunyonyesha watoto wakubwa wa kiumeni...chumba weka booking kwa Madame B

Akha Mentor bado ni Under the Age of 18........!!!!!!!!!!1
Hivyo Couple na Booking ya Chumba itakuwa ngumu kwake.
 
Last edited by a moderator:
toto la kishua nitakuwepo.

Njoo unichore basi.

Duuuuuuuuuuuuuuuu,

Sikujua kwamba watu wa Dar wana roho ya korosho....
Yaani hata wawakalishi wa Club kubwa hamtaki kuwapa mialiko....

Ngoja niwasiliane na mwenyekiti  wa ukweli&nbsp (PakaJimmy) tuwapigie dua...

Babu DC!!
 
Time yako ya kurejea nyumbani on Sat's ni muda gani....najitolea kukurush home kwako hata kama ni saa 2 usk, watu8 anataka uwepo
(.............:shut-mouth: :shut-mouth::shut-mouth:..................)
 
Duuuuuuuuuuuuuuuu,

Sikujua kwamba watu wa Dar wana roho ya korosho....
Yaani hata wawakalishi wa Club kubwa hamtaki kuwapa mialiko....

Ngoja niwasiliane na mwenyekiti  wa ukweli&nbsp (PakaJimmy) tuwapigie dua...

Babu DC!!
nooo sio hivo babu hiki ni cha ufunguzi kwanza tukishakuwa wazoefu ndo tutaalikana
 
nina kona kali kama nini, utaweza kunichora weye?

NitakuPM Id yangu afu tumchore bishanga.
Mimi na wewe hatuchorani bwana.
Mmi nataka kumchora Eiyer atakavyokuwa ananicheat, si utanisaidia eeh?
 
Last edited by a moderator:
ntakuPM

mie nitakusaidia kumchora, akicheat tummwagie tindikali diluted?

Mimi na wewe hatuchorani bwana.
Mmi nataka kumchora Eiyer atakavyokuwa ananicheat, si utanisaidia eeh?
 
Last edited by a moderator:
hivi ujue Tanga ulinichora ila hukujua?

Unajua kuchora sana. 🙂

bangi nimeacha kabisa, mwaka jana kale katoto ka Madame B kalisema unahitaji kuchangamshwa.

Wewe si ulisema kuwa bange za mwaka jana umeachana nazo au??

Kunichora ndo nini tena wewe mjela jela?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Akha Mentor bado ni Under the Age of 18........!!!!!!!!!!1
Hivyo Couple na Booking ya Chumba itakuwa ngumu kwake.

Haaa! dada gfsonwin njoo mwambie huyu mtu mtoto ni gwin na godi!!!!

Usijali mkuu kuna mayaya toka CARRIBEANs na VENEZUELA nitawadondosha mitaa hiyo kunyonyesha watoto wakubwa wa kiumeni...chumba weka booking kwa Madame B
Nice to hear dat... 'mwanaume wa kweli' zitakuwepo ama tuje na zetu!?? khe khe kheeee....

(.............:shut-mouth: :shut-mouth::shut-mouth:..................)

Ndo yaleeee ya kaka Mtambuzi na mwalimu snowhite kusindikizana msibani!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom