MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

MMU la'familier vs Wanted wa MMU! (White Party)

Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!

Yah! Yah! Yah! Peopleeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Najua mmeingia humu kutoa ushauri na nini ila mwaka kabla haujafika katikati ni vema kwanza tukapongezana wana MMU wote Wapya, Wazamani na nyie Guest msioisha kuchungulia humu! kwa ushauri mzuri tunaopeana, Makavu live tunayopeana, Stress tunazopunguziana, na vituko vyote na mabobish bobish tu ya hapa na pale!!!!!! Kila mtu ana umuhimu humu, na hata akipungua mmoja it will never be the same kwenye Lafamillier!!!!!

Haipendezi mtu unakuja humu kushauri shauri na nini alafu kwenye mijumuiko ya kuonana unajikaushaaa! Haihuuuuuuu kabisa hiyo!!!!!!! Nishasema HAKUNA ALIE MSAFI sasa wasiwasi wako nini???????? Acha mambo zako kabisaaa!!!!!! Njooni wote tujumuike na kufurahia NEW YEAR!!!!!!!!!!!!

Mama gfsonwin, The Teacher!!! jamani kajitoaaaaa KUMAKE THE IMPOSSIBLE HAPPEN!!!!!!! Kwa ufadhili mnono anakuleteeni THE ONE AND ONLY JF WHITE PARTY!!!!!!!!!!! Party of all Parties!!!!!!!! Usibonyezeeee kabisaaaaaa!!!! Pati la kukaribisha 2013 at MMU!!!!!!!!! kwa KAUCHAKAVU KADOGO TU KA 20,000/= Food and beverages inclusives!!!!! Khaaaaaaaa!!!!!!!
Watu CLASSIC tu, na mambo ya Kiutuuzima zaidi pale KEBBYS HOTEL!!!!!!! 26/1/2012 (Under 18 msije mda wenu bado!!!!!)

Mambo ya Ukweli na Uhakika!!!!!!!! Totoz za Jf zote ndani in FULL WHITE!!!!!!!!! Pale Ciello (Katoka Chugga special for the party jinsi alivo party people)!, amu, Surprise, Lara 1(Transfer langu la Mwanza silishughulikii ni kujipanga na Party tuu), Evelyn Salt, Smile, Kipipi, Madam B, Kaunga, Preta, sakapal na Kamsweetie na wengine KIBAOOOOOOO!!!!!! Tushatoa RESERVATIONS zetu VIP karibu na Max na Mike (Ukichagua nyama chagua iliyonona!) HAPANA CHEZEYA KABISAAAA!!!!!!!!!

Wakaka nao ndo usisemeeee! The Boss, Mkatakiu, Nicas Mtei, Baba V, Asprin (anaendeleza ukaguzi wake), Prisoner 46664 (Patachimbika mbonaaa), Zogwale, Mtambuzi, SnowBall (Ana hazina ya box huyu si wakcheza nae mbali!, Father of All, watu8 (Anakuja kwa raha leo!) Mazabzab nae anaendeleza ugegedaji katokea Tanga special kwa hii shughuli!!!!!!!!

ITS GONA BE BANANASSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PEOPLE SHOW SOME LOVE TO gfsonwin!!!!!!!!!! KUJENI KWA PARTY!!!!!!!!!! SI YA KUKOSA AISEEEEEE!!!!!!!!! PM GFSOMWIN FOR RESERVATIONS!!!!!!!! Nafasi ni chache nishasema kitu Classic kile!!!!!!!!
Umesahau Akina sisi wengin tunakuja hapo
 
Asante Lara 1 kwa kunitambua zee la hazina katika box. Usisahau kuniandalia kasamaki kachanga over 18 nitakuwa suite!! Nikape raha maana home naaga kabisa kuwa niko busy kikazi!! Ha ha ha!! Ni nani msafi? Na anyanye jiwe anitwange!! Lara 1 kashatutolea mfano!!!
ndaga baba!!
 
I thought u were single:confused2:

Yes she is single and ready to mingle...huyo baby aliyemtaja hapo ni katoto kachanga kanakinyonya hawezi kukaacha nyumbani, chezeya White Party....
 
lara 1 na gfsonwin hebu nambieni kama naruhusiwa kuja na mama yoyoooo. Yeye sio member wala hajui JF ni nini (na wala sitaki ijue). Mkikubali nikuje nae, tadanganya yeye kuwa ni alumunii pati ya ile university nlosoma kule ng'ambo...
 
kama sijawakwamisha kwenye bajaj, nyie chongeni tu, nawaangalieni tu hapa!

Aaaaa wapi, Mamito vp ile kitu tayariiii...?????
Pole sana kama tayari, kama bado P'se nirudishie Pole yangu haraka.
 
nakuuliza hivi chakutupiemo unakipata wapi mwali???
hala hala Madame B kila kona ya jiji hakuna lol! halaf Madame B kuna taahira namleta pale kijiwen aje apimwe akili na yule muuza nguo sawa??
nitajua tu wangu! taratibuuuuuu nafanya mchakato! ila idea yako niliipenda, but ngoja kwanza nivute muda kufikiri!
 
Tupo pamoja Lara 1, ila hilo la wewe kuja na jina lingine ili tusikutambua sijaafikiana nalo, kwa nn lara ufanye hivyo? unaogopa nn? ili mradi unachoandika hapa ni kweli na hakimuumizi mtu, na mara nyingi hutufundisha jinsi ya kuishi na watu, sioni sababu ya wewe kubadilisha jina uje kivingine.
MM labda nikose nafasi lakini kwa mapenzi ya Mungu nikiwa hai, na afya njema kwa kweli nitakuja na nitaandika jina langu hili hili Lisa.
 
Hivi siku hiyo rules za 'anonymity' za JF zinaapply, au ni full kujiachia na kujitambulisha tu 'mie ndo mrembo Lara1, mie ndo The Boss etc'?

tunajiachia tu mkuu kwamba mm ndo dr riwa nk.............lol!
 
lara 1 na gfsonwin hebu nambieni kama naruhusiwa kuja na mama yoyoooo. Yeye sio member wala hajui JF ni nini (na wala sitaki ijue). Mkikubali nikuje nae, tadanganya yeye kuwa ni alumunii pati ya ile university nlosoma kule ng'ambo...
teh mwambie ni wabunge wa ghana
 
lara 1 na gfsonwin hebu nambieni kama naruhusiwa kuja na mama yoyoooo. Yeye sio member wala hajui JF ni nini (na wala sitaki ijue). Mkikubali nikuje nae, tadanganya yeye kuwa ni alumunii pati ya ile university nlosoma kule ng'ambo...

njoo nae kama utamlipia ila ujue atakujua unless umfiche id yako
 
nipo my dear! utu uzima si mvi wangu, ni majukumu na vile unavyoyakabili! nilimpeleka mum hossy tena nairobi, usijali anaendelea vema, tupo pamoja tena sasa!! vipi umpendaye, hajambo? uje naye, utashare dekker la juu, ila miguno muiweke mute, sitaki kutiwa majaribuni wakati bamia yangu ishalala inangojea kuwa-boosted!

Glad to hear kuwa anaendelea vyema.
Juu si tutaanguka, tutashusha godoro chini; usijali miguno itakuwa ya kawaida tu! LOL
 
Back
Top Bottom