Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
heiya heiyaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,..................watoto wa jiji ndani ya KEBBY'S wacha kabisa pembeni tutakuwa na Dj DAVI DUU NA MOMELLA LIVE BAND. ukija kwenye barbecue usipime kitu ni meat something za kufa mtu, chicken, beef, fish served with french fries.
pia kutakuwa na entertainments za kila namna pamoja na uwezo wa kujinafasi kwenye EXECUTIVE LOUNGE FOR DRINKS AND SMOKING............( hapo mfuko wako ukiruhusu lol)
itakuwa ni ku party na kuparty kwa kwenda mbele lol!
kuhusu hii hapa naomba kushauri kuhusu hapo kebby's ticha (kuna kaexperience ninacho kidogo ,nimeshawahi kufanya shughuli hapo)......... ila naomba nije pm kwa discussion ya uhuru isije ikaleta maneno hapa jamvini.
mimi nitakuja na baby wangu tusijuane
Happy new year mamito!
Hahahahaaaaaa! Mi nakuja ila kwa ID yangu ingine!!!!!!!!!! So itakuwa mambo ya TRUTHFUL LIES!
Smile upo mamito? happy new year! tutafanya zamuzamu ili kubana matumizi, maana huyo mtu niliyembahatisha kwa kucheza lotto, ni mbahiliiiiiiiiiiiiii eti hata zana hanunui mpya, anafua na kuanika! lolhata mimi niwekee chumba tafadhali
Mlete Babu weeee......
hahahahh! muliika mwizi meeeen!!!!!
nipo my dear! utu uzima si mvi wangu, ni majukumu na vile unavyoyakabili! nilimpeleka mum hossy tena nairobi, usijali anaendelea vema, tupo pamoja tena sasa!! vipi umpendaye, hajambo? uje naye, utashare dekker la juu, ila miguno muiweke mute, sitaki kutiwa majaribuni wakati bamia yangu ishalala inangojea kuwa-boosted!Happy new year, unajua jana l was thinking of you a lot and l was so happy to see you. Usipotee kihivyo bwana!
hata mimi niwekee chumba tafadhali
kama sijawakwamisha kwenye bajaj, nyie chongeni tu, nawaangalieni tu hapa!Tena Piga kbs.