Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
We umezaliwa tisini na ngapi?
Hii ndio mechi Baggio alikosa penalt kwenye fainali?
Unajuwa leo nilikuwa nasoma local news paper za sports kuna huyu kipa wa Simba na ndio alikaa golini kwenye big match Manyika Peter mtoto wa kipa wa zamani wa Yanga Peter Manyika kwenye particular zake amezaliwa 1996.
Something linging loud in my head.
Baggio alikosa penalt mwaka 1994 kwenye fainali hii ya bebeto ilikuwa mwaka 1998!
Huyo dogo watu kama sisi anatakiwa atuamkie 'sh'kamoo baba'.
Zilizofanyika Ufaransa kwenye robo fainali kati ya Brazil na UholanziBebeto kushangilia kumbeba mtoto ilikuwa ni robo fainali ya World Cup USA 1994.
Au we unazungumzia Bebeto katika fainali zipi?
Bebeto kushangilia kumbeba mtoto ilikuwa ni robo fainali ya World Cup USA 1994.
Au we unazungumzia Bebeto katika fainali zipi?
Zilizofanyika Ufaransa kwenye robo fainali kati ya Brazil na Uholanzi
Brazil walipita kwa matuta,kwenye dakika 90 na zile za nyongoza walitoka suluhu 1-1
Goli la Brazil akifunga Ronaldo de Lima akipokea pasi kutoka kwa Rivaldo,goli la Uholanzi alifunga Patrick Kluvert,magoli yote yalifungwa kipindi cha pili!
We umezaliwa tisini na ngapi?
Hapana mkuu,ushangiliaji ni kwenye fainali za za 1994!Yeah uko sahihi kwenye hilo.
Awali nilidhani labda unazungumzia ule ushangiliaji wake.
Hehehe...tisini na moja
Isije akawa anajicomfuse na Bebeto wa Atlanta kwenye Olimpic walivyotolewa nishai na kina Nwanko Kanu
kuninii ni lazima lakini nazingatia sana age-mate wangu, siwez toka na watu nnaowazido sana au walionizid kupitiliza.... sa at last utapokuja kuoa mtu ambaye kishachezea madushe ya wazee kipindi hicho hilo ni balaa lingine!!! yani bora uvurugwe na vijana wenzio lakino sio hawa wababa tena wenye ndoa.... kama sa hizi tu unatoka na mme wa mtu huko badae si ndo utafanya mengi machafu
Dah ile timu ya Naijeria ilikuwa kali sana. Nawakumbuka Daniel Amokachi, Victor Ikpeba, Taribo West, Celestine Babayaro, Sunday Oliseh, Mobi Oparaku, Tijani Babangida na wengineo.
Isingekuwa kulewa sifa jamaa walikuwa na potential sana.
Oh my ...oh my! '91?
Kulikuwa na mtu anaitwa Garba Lawal na Austine Okocha acha kabisa hawa watu!
Hahahah..upo sharp mwenyew...age ya mwanamke always ina +
Nani anakumbuka lile jisongo la Wenge Musica BCBG - Ndombolo ya Solo?
Jamaa walitamba sana na hiyo staili yao ya ndombolo.
Nakumbuka pale kwa Macheni (Migomigo) kuna kipindi nilikuwa napenda sana kwenda kula bata wikendi.
Basi DJ akitwanga ndombolo ya solo wachuchu walikuwa wanamwaga radhi vibaya mno.