MMU hot talk

Nasubiria siku yako ukiwa unafanyiwa hot talk.Mie nakuuliza kabisa swali langu sasa hivi maana hiyo jam yake naiona.Swali:Kwanini unabadilisha sana id.....lol

Hahahahaaaa umenikumbusha mbali ujue..... Diva Beyonce embu nsaidie kumjibu uyu mtu swali lake......akishindwa kukujib atakujib hata kwa pm ni siri nzito et unazan adi kua mpole ivi mchezo....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa umenikumbusha mbali ujue..... Diva Beyonce embu nsaidie kumjibu uyu mtu swali lake......akishindwa kukujib atakujib hata kwa pm ni siri nzito et unazan adi kua mpole ivi mchezo....

ooh...
so sad, kuna mtu aliahidi kukudhuru kwa kisu, did he managed?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa umenikumbusha mbali ujue..... Diva Beyonce embu nsaidie kumjibu uyu mtu swali lake......akishindwa kukujib atakujib hata kwa pm ni siri nzito et unazan adi kua mpole ivi mchezo....

Aiseeee naomba tuongozane wote pm maana huyo wakuniambia anashinda akiangalia BBA sidhani kama nitaambiwa leo
 
Last edited by a moderator:
..........Duh JF raha, yaani huu uzi niliuona Ijumaa wakati unaanza lakini sasa hivi umefika hadi page 52 na kuna watu jinsi wanavyo-comment wangekuwa tayari washatunga kitabu kama comments zao zikikusanywa pamoja.

Kuna mdada mmoja sijui ushamfanyia interview? Siku ukifanya nae interview naweza kukesha sababu napenda kusikia vitu viwili vitatu kutoka kwake ili nimfahamu japo kiduchu.

Hongera sana miss neddy kwa kuwa mbunifu. God bless you!!
 
Mdada gani uyo embu nitonye
 
Aiseeee naomba tuongozane wote pm maana huyo wakuniambia anashinda akiangalia BBA sidhani kama nitaambiwa leo

Hahahaaaa yupo bizy uyo yani yy na bba damu damu.....we Diva Beyonce kamu ini zisi wei pliiz umjibu swali lakee uyuuu ili alale kwa aman
 
Last edited by a moderator:
......sio poa nikimtaja! kwani tokea miss neddy aanzishe hii hot talks ni akina nani waliofanyiwa interview?

Waliofanyiwa interview ni Lala1 ambapo uzi wao ulivunja record uli reportiwa na watu mia tano....na angelita
 
Last edited by a moderator:
Mweeeee zile zilikua ni kelele za tembo ati.......kwanza adi nlisahau mbwembwe tu zilikua znamsumbua yulee

Hahahahahahahahaha..hadi nimetoa chozi.....jf raha sana...tembosa sijui aliapa atakutwanga kisu pajani hahahaha..daah ivi hakukupata kumbe?
 
mkuu rudia kusoma ulichokiandika kwa umakini,kama unaakili timamu utagundua kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…