nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Watu wanauliza eti mumeo unamuhudumia saa ngapi?????? Mana wanadai uliwaambia wewe mke wa mtu wanashangaa toka asubuhi hadi saa4 upo hapa wabshana na kitoto, haukawii kusema uko uko safarini kikazi ndomana huko huru hehehehweeeeeeee wajibu wadau mie mjumbe tu.

Nyumba kubwa JF woman of the year 2014 wote tuseme ndioooooooo
Yap! nyumba kubwa jf woman of the year hongera zako mamaaa,hata mama yako anajivunia alizaa mtu, hakutaga.
Watu ndio nani?
hana computer au simu?
Kwa nini unamuulizia...?
Nshasema mjipange...
Kumpa za uso NK unatakiwa uwe umepitia kozi...
Bado bado bado saaana....:llama:
Thank you my dad kwa kunifunza staili za kigaidi...hakuna anayemuweza NK...lol
Rudisha feedback kwenye hicho kikao...mjipange muje upya...
Ama kweli hii ni hot talk duh!!!
Hapana , huyo ni muda mrefu sana tumeshaachana.... Post zangu dhidi yake hazifiki 5 mdogo wangu.
Wiki ijayo mgeni nani Miss?tugange yajayo jamani angelita nyumba kubwa
tugange yajayo jamani angelita nyumba kubwa
Grandma jibu swali sio unaruka ruka kama ndege, mbona wenzio tukiulizwa twajibu.
Wiki ijayo mgeni nani Miss?
acha iwe suprise
Chezea hot talk ww utalala hoi ati
Mimi na Grandma nyumba kubwa nishamalizana naye.
Wacha nilale kesho nisijekusinzia kwenye ofisi za watu mjini heshima kazi vingine urembo tu miss neddy ahsante hope ntaalikwa tena siku ingine.
acha iwe suprise
huwa ni siku gani kwani?
huwa ni siku gani kwani?