MMU hot talk

Afu tumesahau kuuliza umri wa 'shemejiii'...

Te te te te

Ukute anambeba mtu kama Capten...chezea kuendekeza dhiki weye

Hahahaaaa....wewe ni michael jordan of this thread...angalia visije catch feelings vikaanza matusi,havichelewi kulia
 
Mdogo wangu umenchekesha kweli ungeanza na mume wake lol....
Ila na wewe ufanye umuache mbaba/mkaka wa watu wewe ndo wa kumuacha maana hao married men hawajuagi kuacha....

Nasubiri ile gari iliyoagizwa itue na kadi niwe nayo mkononi ndo nimfungulie kamba, siwajua maisha nipe nikupe.
 
Hahahaaaa....wewe ni michael jordan of this thread...angalia visije catch feelings vikaanza matusi,havichelewi kulia

Uzuri mods wanasoma kimya kimya...
Wakitukana tu wanapewa leave without pay...lol
Huku mwenzao matusi hayaninyimi kulala...
(Namshukuru babangu aliyenifundisha kuwa strong na nisikubali kuwa bullied...ila wakati mwingine nina wasi wasi nina wa bull watu wengine bila kujua...lol)
 
Nasubiri ile gari iliyoagizwa itue na kadi niwe nayo mkononi ndo nimfungulie kamba, siwajua maisha nipe nikupe.

Hahahaaa...gari sio,haya ukiitwa "Muuza Pu.ssy" kama wengine utakataa?

[I dare u,i double dare u!!]
 
Naona unavyotapa tapa mambo ya free p yamekujaje hapa??????

Nimekwambia ungekuwa na mume ningeanza naye namaanisha mume huna bibi, ingawa nyuma ya keybord unadai unaye kisa hujulikani hata utumie ID mia utajulikana tu.
 
Na kama umenisoma vizuri (maana una panic)
Nimesema hivi..
Niwe na mume au sina...haibadili fact...
Unachofanya si kizuri...
Badili tabia
 
Service yote ulompa 3 good years unaambulia gari...
Dhiki mbaya sana

Masikini weee usikurupukie nimesema nasubiri ile iliyoagizwa ije sio ndicho nilichoambulia jitahidi kwenda na mtiririko usikurupuke.

Hicho nichamwisho kati ya ninavyoviitaji kwake kwa sasa ukiacha hivi nilivyonavyo, grandma nikikuorozeshea hamkawii kuniambia najiproud nitafute uone kwa macho uje uwahadithie.
 
Nataka nikupe offa ya temporary job...ujitegemee..
Maana huna haja ya kuangaika hvyo sababu ya msingi na gari...

Kama uko tayari ni PM...
Kuwa na siku njema...!

Uwiiiiiiiii mbavu zangu aliyekwambia nataka kazi nani??????? Mimi mwenzio muajiriwa tena ajira ya kudumu.

Siku nyingine unapotaka kumvamia mtu hakikisha unamjua angalau hata kidogo.
 
Na kama umenisoma vizuri (maana una panic)
Nimesema hivi..
Niwe na mume au sina...haibadili fact...
Unachofanya si kizuri...
Badili tabia

Tatizo unadanganya hadhara kwanini usiseme ukweli??????
 
Naona unavyotapa tapa mambo ya free p yamekujaje hapa??????

Nimekwambia ungekuwa na mume ningeanza naye namaanisha mume huna bibi, ingawa nyuma ya keybord unadai unaye kisa hujulikani hata utumie ID mia utajulikana tu.

Haya tuseme hana...she is a woman strong enough asietaka misaada ya wanawake wenzake kumpa waume nae ashee...sasa wewe mpaka mke mkubwa akupe shavu,tena kwa hiari yake...ur fate is on her hands...what a weakness?
 
Haya "muuza P",taja kwa 3 years umepata nini na nini...haya tunaanza 1....2....3.....

Usije chekesha umma buree...hebu tuache haya jamani ni aibu ujue
 
Nasubiri ile gari iliyoagizwa itue na kadi niwe nayo mkononi ndo nimfungulie kamba, siwajua maisha nipe nikupe.
Sawa kabisa ulishafika 24/25 ni mda sahihi wakuwa na watu serious...
Umeshachuma visent vyako kiwanja unacho mkoko unaooo(wasitake kukua umevipataje lol) naaa una kazi yako aaaa kabisaaaa unapata single mwenzako mnaunganisha status mnakuwa engaged mna spend life kama kuoana sawa hata msipooana kuwa na mtu kujulikana wewe ni mmliki halali si mbaya....
Mimi nimekuelewa sana.....
Maisha haya ni target bana......
Na hakuna formula....japo watu wanalazimisha formula...
 
Nataka nikupe offa ya temporary job...ujitegemee..
Maana huna haja ya kuangaika hvyo sababu ya msingi na gari...

Kama uko tayari ni PM...
Kuwa na siku njema...!

Dada yangu kasamehe tu,ni kama Maywhether Vs Cheka...kauza P tu sema hawataki kukubali cheo chao waziwazi,sio ajabu kuuza P ila vitakomaa weee kujitofautisha na wale wa meeda while ni same status
 
mbona jukwaa la kazi kuna dada na kaka zangu wana uhitaji hata ya kujitolea ungewapa wao hio opportunity

Si unajua kazi bongo hazipatikani kiuraisi...
Huyu nilitaka kumpigia kifua kama mdogo wangu kwa sababu yuko kwenye 'situation'
Sina nafasi za kazi za ku offer kila anayeitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…