mmmh
5 unafikiri mtu kabla hajasema YES I DO kipi cha muhimu cha kuzingatia
Ujue mi kazi yangu kumpangusa jasho miss neddy ndio maana sikai mbali et
Bibi ww tulia ntakukong'oa na fimbo kichwan unatupigia kelele ati ujui kami ni montless
cc utafiti fanya mwenyewe bhana
Usiku mwema Tumboo ulale salama, hiyo kazi yakumfuta jasho miss neddy me nipo...
Kwaiyo miss neddy kibarua changu cha kukufuta jasho ndio kimeota manyasi lol???
Hivi haujui mwalimu kama hayupo dada mkuu naweza kucontrol darasa?
Mkuu miss neddy swali la 6 kizungu kingi jaribu kupunguza
hahahaha haya usije ukazeeka ndo uanze ku act ka jlo am kidding
Qn 7. Umewahi kutoka na mume wa
mtu? Ilikuwaje? Una regret zozote?
Hahahaha nilikwambia tulia mama ukaanza mara oooh sijui nimeajiriwa ona sasa mchana kweupe umefukuzwa kazi
We aya tuuu
Hahahaha uchininyime barafu kesho eeeeh!na sitakuandika mpiga kelele
umejiandaa na OFM lakini anyday wataku suprise am kidding lol
Qn 8. Kitu gani mwanaume akifanya au
sema kina seal the deal, unaamua
hapa game anapata huyu zo.ba!
Hahahaaaa! Yaani hiko kitu
kinakufanya urudishe moyo nyuma!