nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Hahahahaaaaaaaaa..... Haya maisha tu kila Mtu ana siri na ukweli wake moyoni, ya kwako hayawezi kufanana na yule kila mtu anasitaili yake yakuyaendesha.
Usitake kulazimisha kumbadili mtu mtazamo kisa tu wewe unaamini kitu Fulani.
Kubadilika ama kuacha ni maamuzi ya muhusika mwenyewe kuridhia kwamba sasa sitaki kufanya au kitu Fulani sikitaki.
Usitumie nguvu nyingi kutaka kusikika ila naimani kuna watu comment zako zimewasaidia ingawa sina hakika ulivyoviandika hapa na kiuhalisia uko hivyo au nyuma ya keyboard tu.
Khe kumbe nadaiwa....
Unanidai nini vileee
Umenena jambo jema sanaNaona mada imekuwa personal attacks.
Kimsingi angelita anaishi maisha ya umri wake ila si sahihi.
Na so called granny mumuwache kama kukuambia mmeshammwambia kasisikia ikifika kipindi mwenyewe ataamua atatulia na vizuri kuna sehemu alisema itafika kipindi Mungu atampa wa kwake ataolewa.
Hizo personal attacks sijazipenda.
Hahahahaaaaaaaaa..... Haya maisha tu kila Mtu ana siri na ukweli wake moyoni, ya kwako hayawezi kufanana na yule kila mtu anasitaili yake yakuyaendesha.
Usitake kulazimisha kumbadili mtu mtazamo kisa tu wewe unaamini kitu Fulani.
Kubadilika ama kuacha ni maamuzi ya muhusika mwenyewe kuridhia kwamba sasa sitaki kufanya au kitu Fulani sikitaki.
Usitumie nguvu nyingi kutaka kusikika ila naimani kuna watu comment zako zimewasaidia ingawa sina hakika ulivyoviandika hapa na kiuhalisia uko hivyo au nyuma ya keyboard tu.
Watu wazima mnataka MUMSULUBISHE 21 YR OLD? REALLY! Somebody had to do something!
Hapo kwenye bold kwa tunaojua saikolojia ni dalili nzuri...
Umeanza ku admire tabia inayokubalika na jamii...
Mwanzo mzuri...uta change tu
AfanaalekiHapo kwenye bold naona una justify maovu...
Hayo ndio maisha ya 20s?
We have been there too...
Sikubali kuwa 20s wote ni vimada...
Watake radhi
Kujirusha tumejirusha sana..
Lakini si na waume za watu...
Na hili sasa mnataka kulifanya kuwa ni halali...
Wanafunzi wa chuo kushindania wanaume za watu...
Nakubali tulisoma na waliodata...
Lakini hawakuwa wengi na walikuwa wanaonekana ni kituko...
These days mnataka kufanya kuwa ni utaratibu wa maisha...
Noooo...lazima tukemee
Hahahaaaaaaaa....nacheka tena nahisi hujaelewa kwanini nimesema hayo maneno ya mwisho yasome tena uelewe maana yake, mimi bado sana maneno ya mtu hayawezi kunibadili mtizamo, huwa nasubiri wakati useme wakati sahihi ambao jambo Fulani wakati umefika wakulitenda.
Afadhari mie na ID yangu fake ila sio fake ingawa natambua watu kibao humu wananijua ndani na nje ya JF.
Hapo kwenye bold naona una justify maovu...
Hayo ndio maisha ya 20s?
We have been there too...
Sikubali kuwa 20s wote ni vimada...
Watake radhi
Kujirusha tumejirusha sana..
Lakini si na waume za watu...
Na hili sasa mnataka kulifanya kuwa ni halali...
Wanafunzi wa chuo kushindania wanaume za watu...
Nakubali tulisoma na waliodata...
Lakini hawakuwa wengi na walikuwa wanaonekana ni kituko...
These days mnataka kufanya kuwa ni utaratibu wa maisha...
Noooo...lazima tukemee
Hahahahah....mie nasubir marejesho tu mwaya
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! NAONA UNAONGEA NA HER MAJESTY ROYAL HIGHNESS!
Take a chill pill, SAVE THE BEST FOR LAST!
Nchukua POOOOOO, NIARUDI BADAE FRONT LINE YA BATTLE FIELD! REMEMBER FOCUS AND GET ME THOSE BIG REPUBLICANS!
And show a little repsct to your GRANNYS OPPPPPPSSSSSSS! MEANT ELDERS! Its TRADITIONALLY REQUIRED OF YOU remember! SO LONG KIDDO! SO LONG!
Mmmmnnnhhhh
Wajulika weye..
Haya usije amisha majeshi kwa members tu humu...
Bado familia zao zinawaitaji...
arent you forgetting somethin??????????? MY ID IS FAKE TOOOOOOO! ITS A FAKE WAR! BUT WAR IS WAR! And i am not planning on losing this one too! I WOULD LOVE TO KEEP UP THE CHATTIN BUT I HAVE PRESSING MATTERS TO ATTEND! Cio!
Usije humu huku unalia machozi ya damu tuu...bibi mwari wa zamani huyoo...
Kumbuka dagaa mboga..nyama mboga ya hamuu....
Mdogo wangu umenchekesha kweli ungeanza na mume wake lol....Hahahahaaaaa..... Kuliko unavyofikiri, ungekuwa na Mume kweli ningeanza naye wakwako aaaaaargh bahati mbaya huna.
Hahahahaaaaa..... Kuliko unavyofikiri, ungekuwa na Mume kweli ningeanza naye wakwako aaaaaargh bahati mbaya huna.