jf superstars hujui wapo..?
I tend to believe kuna characters zina attitude za kishule ya msingi humu.!!!!
Na mie nakununulia novida kwa maneno kuntu mkuu.Mkuu kwanza kuwa mume wa mtu ni heshima kubwa sana labda tu kwa ambae hajui,lakini pia kuwa mke wa mtu ni heshima kubwa sana labda kwa ambae hajui
Kama wewe ni mume wa mtu halafu un akwenda kuvua suruali yako ni aibu kubwa sana
Kama wewe ni binti ambae unadhani unajiheshimu halafu unakwenda kushusha nguo yako ya ndani hovyo kiasi hiki jua wewe ni wa hovyo sana
Hapa kila mtu anatakiwa ajilinde na utu wake na sio kugeuka kuwa mbuzi ambae yeye anapanda kila jike au anapandwa na kila dume lin alopita mbele yake!
...there you go....no Matola as a back up this time..he ruined it and made me to go off topic.....
back to topic-find your man...a single one...not for the married guys....
You wish...tukitembea barabarani mimi na wewe ...utaamkiwa mimi nambiwe mambo...
Na mipombe na starehe mnazoendekeza bado mnajiita vigoli?
I am proudly 39...lakini ukiniona kusema Gabrielle vile...unalo hilo...utazeeka mimi niko pale pale...
Unadhani kulea waume za watu kazi ndogo...
SIjawai danganya umri wangu kama wanawake wengi sababu najua napata compliments whenever I mention my age!!!!
REPUBLICANS MTAONGEA SANAA INA RIDDLES AND PARABLES!
Hate the game and not the playerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Hahahahaaaaaaaaa! Kama nakuona vile!
Lara1 unadai una miaka 30.HAHAHAAAAAAAAAAAA! Haya mambo yanakumbushwa daily nyuma za bada sioni hata mtekelezaji si VIONGOZI WA DINI WENYEWE WALA WAUMINI! Asikilizwi muadhini wala mnadi swala! Chezea binadamu weyeeeeeee!
Tangu juzi ulikuwa unafanya nini hapa?
Unajua maana ya hiyo "tangu juzi nipo" hapa?
Mkuu kutolea mfano like kuwa wanaofanya hivyo mwisho wao mbaya , wanaishia kupata ngoma , sijui sad endings n.k km malipo yao hapa duniani mimi nakata kabisa......Asakuta sio hofu watu wanakuwekea....noo...u get it wrong...ishu ni tuwe careful tusiwaumize binadam wenzetu...kwenda kuchukua mume au mke wa mtu sio sawa,unaumiza watu kibao......hizo principle unazozisimamia zisiwe za kuonea watu with no reason
Na mie nakununulia novida kwa maneno kuntu mkuu.
Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.
Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.
Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.
Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.
Nilidhani umepita kimya kimya...lol
Maana inataka moyo...si unaona makombora yake si ya kitoto...te te te
Hahahahahaaaaa.... Atauonekane mdogo kiasi gani kama umezaliwa 1938 halikwepeki.. Sipati picha miaka 7 ijayo utakuwa OLD AS SHIT.... Namimi bado ntakuwa mdogo kwako Daima.
Grandmaaa wacha mjukuu niongee na mama zangu sio wewe bwana tulizana.
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! GRANNNNNNNNNNNNNNNNNNNY! GIRL YOU IS VERY MEAN! HAHAHAAAAAAAAAAAA!
Il mwenzangu kweli UJANA WAO WALIKULA NA NANI WAJE WAKUBANE WEWE JIONI HIII! AAAAAAAAAAH WAPI! MTU 7 YEARS ZIJAZO ANA PLAN KUWAMO HUMU? DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! IMEBIDI NICHUKUE SCREEN SHOT YA SOUVENIR IN CASE NIKIJAALIWA KUWAKO HIZO 7 YEARS!!!!!!!!!!!!
YOU ARE 21 ISHI KAMA KADADA KA 21 USIFATE USHAURI WA WATU WALIOFUJA UJANA WAO WAMEJAZA MI THEORY WAKUZEESHE UISHI KAMA YOU ARE 40 OR A GRANNY TOO!
AGE IS INDEED IN YOUR FAVOR!
Najua ndomana nikaongea.
Sred iko poa ila naona ni vita ya hawa unmarried women kutaka kuhalalisha kuvamia waume za wanawake wenzao...i see ni bitter women with fragile emotions...subirini mtapata waume mtaolewa bana...yanini muwe "vimada" na nyie si kama wao,wana nini nyie hamna?
Cc:angelita,lara1