Iwe free p,iwe 1000usd p,etc yote ni uzinzi...hatuwezi jisifu kwa chochote hapo...sasa sisi tunajisifu as if tume archive kweli kweli...
Karibu bado hujachelewa kabla hujakaa anza kusalimia kwanzia kule mwanzo afu uchukue kiti uangalie mambo yanavyokwenda.
Ndo hapo sasa unapokomalia its a mstake na kusahau YOU ARE A RESULT OF THAT MISTAKE! Ooooooops!
We waache walie walie tu humu, WATU WAKIPENDANA WANAGEANA TU! KWANI KITU GANI? HUMANS ARE ANIMALS AND CAN NEVER BE BOUND BY A PIECE OF PAPER!
Na uende ibadani..ujute na kutubu...usisingizie hangover ya upweke wa jana...
Nakuelewa mzazi...issue ni kwamba yeye ana jisifu kwamba ni sahihi.....tukijisifu na dhambi tunajenga usugu kwamba haya madhambi yetu tunayofanya kila siku ni sahihi,neno kutubu litakua msamiati.....im a killer,im not proud of it,im trying to repent na kuacha,mungu nisaidie
naona leo unacheza reserve! Hahaaaaa! Acha uboya njoo front line ya battle field where we live to die another day!
Mfano huyu sijui Aunt Ezekiel...
Keshaolewa na watu wenye fedha zao na ndoa ikamshinda...
Na sasa yuko kwenye ndoa lakini bado tabia ya ukimada inamuwasha...
Atatangatanga mpaka kaburini...
Sasa hayo ni maisha ya mtu mwenye akili kujisifia nayo...
Soon atakaa chini ajutie maovu yake when it is too late...
post yangu ya mwisho hukureply...ukatokomea mazima....mumeo akaja kama substitute naye kapotea.....whats into this weird couple???
Haaaaa watu mmpepinda humu...., hii thread inanichekesha jamani
MMU HOT TALK....
Nilikua busy celebrities forum hadi nikasahau mambo ya hot talk
So what gonna you do about it? Unafiki tu! Watu humu mnatoka povu kukemea kwenye jamii kimyaaa! Wengi wenu baba zenu wamezaa nje, waume zenu wamezaa nje, kaka zenu wanazaa nje, wanenu wanazalisha watoto Wa watu bila kinga! AND NOBODY SAYS SHIT ABT IT! Tunaufyataa kimyaaaa! Kukumbatia uovu. Mwenyewe kaka yangu kamzalisha MTU mwanafunzi Wa chuo, bi mkubwa anakonalia asimuoe wala mini. Alee tu mtoto. Uncle zangu, kaka zangu, ndo wale wale wakute wake zao, au mama zetu wanavolaani vimada sasa! Nyooooooo! Vimada Wa ndani ya nyumba kimyaaaa! No body says shit abt anything! Aliteleza tu. NDO MAANA NAWAAMBIA SPARE ME THE SENTIMENTS! MTAWHINE HAPA BT THE SOCIETY IS NOTHING CLOSE TO PERFECTION!
Mabinti wa MMU mnapendaa vitu km hivi....lol!
Hahahaaaaaaaaaaa! We deserve each other dont you think?:A S wink:
Hahahaaahaahaha..... Jumapili Leo ibada ilikuwa nzuri sana.
Back to the topic umalaya ni umalaya, anayetembea na mume/mke wa mtu au anayetembea na mtu ambaye hajamuoa au kumuoa wote malaya, hata wale ambao wazazi wao hawajaoana ni Malaya na watoto nizao la umalaya. Mtu ambaya natakiwa kumuonesha majuto yangu ni Mungu pekee sio mwanadamu.
Mkuu Asakuta upo sahihi sana,dhambi ni dhambi...zote sawa tu...na hamna haki ya mtu kumhukumu mtu...ila sasa hatuwezi kaa hapa tunajisifia kufanya haya madhambi...eti natoka na mume wa mtu na im proud of it,jezuz,sio utu kabisa...unadestroy nyumba ya mtu binadam kama wewe na watoto wasio na hatia halafu una brag????
Ndo hapo sasa unapokomalia its a mstake na kusahau YOU ARE A RESULT OF THAT MISTAKE! Ooooooops!
We waache walie walie tu humu, WATU WAKIPENDANA WANAGEANA TU! KWANI KITU GANI? HUMANS ARE ANIMALS AND CAN NEVER BE BOUND BY A PIECE OF PAPER!
Hot talk , if you understand what am talking about... Ha ha haVitu gani Doc..
Kweli kabisa... Majuto regrets zote unaepaswa kumuoneshea ni MUNGU.
Who are they to judge U???
Wewe madaraka ya kuiita hypocritical institution unatoa wapi?