Waache waige za kuambiwa changanya na zako once ukiiga life style la mtu lazima ile kwako bongo ni virse versa kuigana vitu visivo na maana
Thats what im talkin.. hao wasio na kazi na nini..lakini anataka maisha ya maigizo kama akina kim k..hapo ndo mambo kama hayo yanakuja sasa..ukichanganya USHAMBA na UDOGO wa AKILI ya MAISHA(born with wisdom) unapata product ya kijinga sana..
by the way wewe lara 1 hatuwezi kufika mwafaka maana tangu siku ya kwanza unapost hapa jf tuliongea haya mambo, so i know how u think about life sishangai remember Dr.Mo
Hahahaaaaa! NDO MAISHA NA VITU VINATOKEA SANAAAAAA! Kwenye familia kuna watoto kibao wa nje, wanalelewa pale, everybody keeps their mouth shut, kilamtu ana turn a blind eye, bi wakubwa wana ufyataaaaaaa kimyaaa hakuna cha tindikali wala tindi pole, na zigo la ulezi juuuu, mwenzie miguu juu au anaolewa kwingine anakuachia zgo huku nyuma! Hahahaaaa!
Na mambo ya kuchunwa waume za watu yapo sanaaaaaaaaaa. Ni kama kunywa chai tu, sio jambo la kustusha, mambo ya mtu anamuacha huyu anamuoa huyu pia yapo vile vile, mke wa kwanza anamshika bi mdogo uchawi weeee lakini ndo ashafungashiwa virago tenaaa! BOTTOM LINE IS TUKUBALI TUKATAE MAMBO HAYA YAPO ENZI NA ENZI, HATA ANGELITA AKIACHA HAIBADILISHI CHOCHOTE!
WIVES SHOULD TAKE A CHILL PILL!
Hahahahaaaaaaaaa! WHATEVER KNOCK YOUR SELF OUT! Ila kaa ukijua MUME WA MTU MAZIWA! Na wataliwa sanaaaaa! IEither i be a wanna be or not, NIMEZALIWA NIMEKUTA WANALIWA, HATA NIKAACHA WATAENDELEA KULIWA KAMA ILIVO ITIFAKI, AND THERE IS NOTHING THAT CAN BE DONE! ABSOLUTEL NOTHING!
Unajua Diva Beyonce watu wengi sana 90% ya wanaharibikiwa hata celebrety ni kutokana na kushawishiwa, mtu akikosa utashi wa kujitambua, ni HASARA kwake na kwa JAMII..tusijidanganye watu(vijana) wanafanya ngono sana na wanatakiwa wafanye lkn ni kwa ajili ya mhemko wa mwili.. na wala haitakiwi kuwa kwenye cv yako ya maisha kwamba mimi natia sana au mwanamke anatiwa sana(sio sifa) ila kwa sababu ya udogo wa akili na kutojitambua na akili za kushikwa na kuiga watu wanageuza cv na utaona wanapost kwenye mitandao(facebook nk), na BAADHI ya mademu wa kibongo sijui hii akili ya kukopy kwa nini imewakaa sana, naona hawa macelebrity wao akipiga picha kakunja midomo basi wote watapiga picha wamekunja midomo, akitembea na mume wa mtu basi nao wataona ndo mtindo, akipewa birth day zawadi gari basi nao ndo hivyo..najiuliza kwa nini wanapenda kuiga sana..hata hapa jf haya ni matokeo ya kusifu sana mambo ya kutembea na waume za watu, kuuza papuchi(no free p wanaita),kudanganyana mwanamke anatakiwa akiitombeze ili akifika miaka 30 atulie na maigizo maigizo mengine ya kishamba kishamba sasa vitoto vyenye FRAGILE mind vinaona ndo maisha ya kisasa..badala ya kustand out kujifunza kuwa strong independent womanWaache waige za kuambiwa changanya na zako once ukiiga life style la mtu lazima ile kwako bongo ni virse versa kuigana vitu visivo na maana
ni kweli nimaziwa,,, na wezi wao ni vodka....what mixture do you anticipate there???
Unajua Diva Beyonce watu wengi sana 90% ya wanaharibikiwa hata celebrety ni kutokana na kushawishiwa, mtu akikosa utashi wa kujitambua, ni HASARA kwake na kwa JAMII..tusijidanganye watu(vijana) wanafanya ngono sana na wanatakiwa wafanye lkn ni kwa ajili ya mhemko wa mwili.. na wala haitakiwi kuwa kwenye cv yako ya maisha kwamba mimi natia sana au mwanamke anatiwa sana(sio sifa) ila kwa sababu ya udogo wa akili na kutojitambua na akili za kushikwa na kuiga watu wanageuza cv na utaona wanapost kwenye mitandao(facebook nk), na BAADHI ya mademu wa kibongo sijui hii akili ya kukopy kwa nini imewakaa sana, naona hawa macelebrity wao akipiga picha kakunja midomo basi wote watapiga picha wamekunja midomo, akitembea na mume wa mtu basi nao wataona ndo mtindo, akipewa birth day zawadi gari basi nao ndo hivyo..najiuliza kwa nini wanapenda kuiga sana..hata hapa jf haya ni matokeo ya kusifu sana mambo ya kutembea na waume za watu, kuuza papuchi(no free p wanaita),kudanganyana mwanamke anatakiwa akiitombeze ili akifika miaka 30 atulie na maigizo maigizo mengine ya kishamba kishamba sasa vitoto vyenye FRAGILE mind vinaona ndo maisha ya kisasa..badala ya kustand out kujifunza kuwa strong independent woman
the problem is birds of the same feathers flock together....Hahaaaaaaaa! Kama una insinuate mimi ni ANGELITA YOU ARE VERY WRONG! ANELITA ALIKUWEPO PARTY YA ESCAPE 1 NA ANAJULIKANA HUMU NDANIIII UZURI TU, NA MIE NILIKUWEPO PIA! So chagua mmoja akujibu! Plus she is jus a kid not more than 23 yrs I am 30 remember! BIBI LA BIBI! Hahaaaaa!
Hahahaaaahaa.... Tyta unashabikia timu gani wewe????
Maziwa ya Amarula! Hahaaa! PERFECTOOOOO! Mwaaaaaaaaaaaaah!
Nimesoma mtiririko wote tangu jana. Niki like sana na kucomment kidogo....
Neno moja tu........ "Na hawa ndiyo binadam, ndiyo watanzania, ndiyo familia tarajiwa...."
Am off
Na mifano yao inazunguka hapo hapo, wema, kajala, k-lyne, faraja kota na huyo aliyeolewa na mzungu..na media ndo zina circulate haya mambo na kuwaheusha baadhi ya watoto wa kibongo kabisa hasa walio mavyuoni au kama hawa hapa mtu ana 23 yrs lkn amejaza sumu kichwani kabisa, she dont even see that she has so mamy yrs ahead of her to make it big..kutiana kupo ni kutamu na hakuna mtu hatiani, ila work hard play hard..sio no work then u want to play hard no..Ulilosema ni kweli asilimia zote vijana wengi wamekuwa wakipotoshana kuhusu maisha na kufundishana kuiga yasiyo faa kijamii na unakuta wanaiga kutoka kwa ma celebrity ambao ni empty set na kuwa fanya role.model wao badala ya kuishi.maisha yao kama wao wenyewe unakuta wanafundishana kuchuna waume za watu wengine ndo kunakowa weka mjini sasa wale ambao akili zao rahisi kudanganyika ndo unakuta anaiga life la mtu kama Wema alivo pewa zawadi ya gari bila kujua katoa nini kupata hilo gari sasa na mademu wengi wa kibongo wanaiga wanasahau fanya yote lakini mda ukifika lazma ya kurudie na hasa kwa mabinti kuna umri hata wa kuhonga wanapotea shavu likianza kushuka kuna watu nawafahamu enzi zao walikua so hot wakawa wanafanya mambo ya ajabu kwa kisingizio cha ujana mpaka leo hawana mbele wala nyuma na wanatia huruma fanya yote lakini lazma yawarudie badae
Ni kweli kabisa nyumba kubwa watoto wa kike sasa hivi wanashida mno, maana na hii mitandao hata ukimfungia ndani ni rahisi sana kukutana na role model wa kwenye facebook, inst au jf(kama hawa)Te te te...tume comment kwa wakati mmoja tukiwa na same views...
Nina watoto wa kiume tu...nafikiria ningekuwa na wa kike ni jinsi gani ningekuwa na kazi ya ziada kuwaepusha na bad influence...
Japo wa kiume nao wana changamoto zao...ila wa kike kwa sasa wanaishi na majaribu sana...hasa na hao so called successful ladies...aka 'role models...'
Hahaaaa! Itakuwa tu FREE P, since he can't afford it basis ndo kuipiga vita hatari! Yale Yale ya broke dudes na HAPPY ME WITH MY FAMILY THEORY! HAHAAAAA!
Reality check dude your a.as CANT AFFORD NOT BEING HAPPY WITH YOUR WIFE. Matter of fact u should be grateful she is covering for you!
NA MIMI NALOG OFFFF! DOOOOOOOH! KAMA NALIPWAAAA! Maybe nitarudi usikuwa mkali tenaaa! Au nitakuwa nabeepa na simu but for now MUDA WA KU PUT MY WORDS INTO ACTION! Hahahaaaa! Jumamosi hiii tulivuuuu.
NB WALA MLIOKUWA HAMTAKI DUET NA LARA NDO MAANA HAMCHANGII WELL NOW IS YOUR TIME! Its hot talk ! Get hotter!
Na mifano yao inazunguka hapo hapo, wema, kajala, k-lyne, faraja kota na huyo aliyeolewa na mzungu..na media ndo zina circulate haya mambo na kuwaheusha baadhi ya watoto wa kibongo kabisa hasa walio mavyuoni au kama hawa hapa mtu ana 23 yrs lkn amejaza sumu kichwani kabisa, she dont even see that she has so mamy yrs ahead of her to make it big..kutiana kupo ni kutamu na hakuna mtu hatiani, ila work hard play hard..sio no work then u want to play hard no..