Hahahahaaaaaaa...hilo la juu wacha nifanye kama sijaona.
Nikweli malipo duniani mahesabu kwa Mungu.
Kawaida mwanamke ni mfuasi wa mwanaume hivyo hana dini maalum, waweza kuwa mke wapili maana hutakuwa na wivu kwa sababu mke mkubwa amekuzoea.
Swali langu: unampenda dhati au hupo naye kwa ajili ya kutimiza haja zako?
Unaelewa maana ya kuanzishwa thread iii????? Au unakurupukia sasa ulitaka nidanganye alafu iweje??? Nijifanye mtakatifu wakati sio, hapa kwenyewe wako kibao wanaotembea na waume na wake za watu ila wanajifanya wema.
Afu usiishi kwa kukariri sio kila anayetembea na mume wa MTU ninjaa.
Ofcoz tunabadilika kutokana na topic yenyewe na mawazo unayokuwa nayo kwa wakati huo
My dear kuna watu wanajifanya watakatifu nyuma ya keyboard wakati maisha yao yamejaa uozo zaidi ya huu wanaodai hapa.
but mkewe sara si ndio alimshauri ibrahimu afanye hivo baada ya kuona miaka imeenda hajapata mtoto???? so sara aliridhia hilo...back to you huyo mkewe ana tatizo lolote na ameridhia????
Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!
Okey...kumbe naongea na mtakatifu sikujua nlidhani naongea na mwenye dhambi mwenzangu...but mi nimerefer post yako niliyokuquote.
Rekebisha kauli yako hakuna mtakatifu chini ya jua.
Ndugu yangu ndoa za watu zina siri nyingi sana.
Mkewe alivyonijua alinishukuru sana sana nimemsaidia kumtuliza mumewe mana alikuwa hashikiki anarudi asubuhi wakati mwingine kulala huko huko.
Kwangu Mimi saa4 kachelewa baba kwa mkeo labda itokee kitu cha muhimu cha kumrudisha saa nane za usiku, sherehe sijui vi nini nenda na mkeo ndio anayesitahili. Nimemtengenezea mazingira ya kuiweka mbele familia yake then ndo nifwatie.
AU Tumuite SINZA KWETU alete zile FILE? Hahahaaaaaaaaaa!
Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!
Asiye na dhambi si ndo mtakatifu au...?? May be naelewa vibaya
Hahahaaaaaaaaaaaaa! NA HIKI NDO KIJIWE CHETU, HUU NDO UWANJA WETU WA NYUMBANI, TUACHENI TUJIMWAGE JAMANIIIII, TUJISHEBEDUE KWA CHATI EEEEEEH! SINGLE AND READY TO MINGLEEEEEEEEEEE! Patamu hapoooo! ALL CARDS ON THE TABLE! THE ONLY PLACE YOU CAN CONFESS YOUR CRIMES AND GET AWAY WITH IT! HOW MORE LIVE CAN THIS HOT TALK BE?
miss neddy best idea ever ya hii interview! WAKE ZA WATU NA WASAMARI YOU DONT FIT IN, ANZISHENI KIJIWE CHENU!!!!!!!!!!!
kijiwe kizuri itabidi displine iwepo ili interview zisiwe zinafutwa kama ileeee yako... maana nilipitiwa na usingiz kuja kuamka sioni kitu daaaa
Hahahaaaaaaaaaaa! Wimbo wa mzee Ysufu KUCHEZEWA MUME WANGU NASEMAAAAAA NIMEKUBALI ukuburudishe! Ama sivo kama bi mkuludawa hataki AJIKATE! Her time is officially over! EXIT CERFICATE IMESOGEZWA KWENYE FOLLEN YA MHURI!
1st AID....kwa nini umesema hivyo??