MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

mwanangu, inakuwaje unaenda vichakani na vazi la kifalme? aisee mbona Window7 anaidhalilisha familia ya kifalme hii?

nimekwambia uwe mwangalifu atii!

Dadiiii usijaliii, nina ile bastola uliyonipa, akinisumbua nataka nimzikie huku huku... waandishi wa habari wasikusumbue...
 
Last edited by a moderator:
hahaa! Nilikaa pemben nakuangalia tu namm nilitaka kufumania. Mm nisingelaza damu ningemwita Himidin sasa hivi..... Hujambo shemejiii!

hahahaaa shemejiii, mbona wataka kuyamwaga mbele ya baba!!!! hujui kua twaibia shemejiii...
 
sasa akikuanza washindwa nini kumpa makavu akianguka dhambini mi nadili na wewe tu

Mmhh!!! Malkia wa Excel yamekuwa hayo? Aku usideal na mimi deal na King wako mana wakati shetani anampitia miye sitakuwa naye atakuwa peke yake
 
Last edited by a moderator:
mamii kwani mimi na wewe tumegombana? sasa kwanini tukiongea unapanik hivyo? eenh?

remember i loved you soo much.. and you loved me too!!!

Wala hatuna ugomvi, wala sijapaniki nakutahadharisha mapema si unajua miye ni mke wa mtu? Kujihami muhimu
 
Mmhh!!! Malkia wa Excel yamekuwa hayo? Aku usideal na mimi deal na King wako mana wakati shetani anampitia miye sitakuwa naye atakuwa peke yake

we ndo utakaesababisha apitiwe na shetani maana akikuita waja na maneno ya kumtoa nyoka pangoni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom