Ngoja nijaribu.... ila dadiiii usikae mbaliiii mana kama ni muraaaaa sijui itakuaje bila wewe....
haya nimeshusha... ongea na mtoto mzuri nameless girl.. huyu hapa hewani..
nipo nawe bega kwa bega mtoto wangu. ntakupokea katika dhiki na faraja.
akikusumbua, we rudi nyumbani upumzike.
Nilikua nakuvizia nione una mahusiano gani na huy jamaa.. Ok let me clear my throat first...
Dadiiiiiiii.... inavoonesha kama umekula pesa za watu af wataka niuza.... kuna usalama kweliiii dadiii... mie naogopa etiii...
hahahaaaa before you do that.... unajua mie nimetoka kwa dadiiiiii Excel the King, ni mtoto wa kishua... nadhani waelewa namaanisha nini!!!
mwanangu hivi kweli mimi wa kukufanyia hivyo?
come on my child, i am giving you freedom... trust me, mi nna pesa zangu binafsi! hata ww walitambua hilo!
uongo?
hahaha kweli dadiiiiiii, let me give a hug before l go....
mamii ongea kama mfalme mwenyewe..! akikuzingua, nadhani unakumbuka nilikupa nini! pesa, simu na bastola! so unajua kazi yake vyema kabisa!
Kanivunjia ndoa zangu mbili huyo king wako... Kam zis way tafadhali.
Naomba mruhusu twende piem tafadhali.