MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

si vimemo vyako wapata hadi vya ziada kwangu na bado watamani vilivyochacha

we naona Tarime one kakupagawisha kulaleki... we nenda katoke nae mama..! nsije nikacharangwa makofi bure!

bado najipenda mama!!
 
Last edited by a moderator:
usiwe na wasiwasi! mi nina uwezo wa kumchomoa ndani ya kundi la simba wakali na akaja!
J.lee kazaa na Molembe? aisee mbona sielewi?
nameless girl hebu ruka huku mamii! kuna love story inaendelea.. uje kabisa tuisome pamoja!
dadiiiiiiii nimekuja... ebu tuanze kuisoma plishhhhhhhhhhh.... maana katumia kiswahili ila nahisi kutoelewa kabisaaaa....
 
Back
Top Bottom