excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
Ina maana nameless girl nae ni wa huyu jamaa?????[/QUOTE]Ndio hivyo tena wanaitana mama na baba Gati. Nina wasiwasi huyu jamaa ndiye alinivunjia ndoa.
J.lee kazaa na Molembe? aisee mbona sielewi?
nameless girl hebu ruka huku mamii! kuna love story inaendelea.. uje kabisa tuisome pamoja!
kijana inaonekana uko kwenye wanzuki kama sio rubisi..
J.lee kulaleki na lile ta.ko lake yuko na jamaa moja inaitwa Exceptional! sio Molembe!
labda km keshachepuka kwa mara ya saba tena!
Last edited by a moderator: