Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 499
Mama sitaki mtu akuchezee niamwaga ubongo wa mtu ohooo
Baba ondoa hofu, siwezi kukusaliti bana kwako ndo nimefika siambiwi sisikii
Mama sitaki mtu akuchezee niamwaga ubongo wa mtu ohooo
Nimerudi kukuchukua rasmi sema unataka nini mamii..
:msela:
waiting for someone..
![]()
Utaniweza wewe kweli?
Af mbona umechukua muda mrefu kurudi?
Ayaaaaaah......................
Nilikua najipanga jamani.. halafu leo usiogope baba ako nmemuacha sehemu kakodoa macho kodoo anawachek Madrid na Barca..... Infwact jes give me a kiss wth no worries before sijaendelea
Baba ondoa hofu, siwezi kukusaliti bana kwako ndo nimefika siambiwi sisikii
nimekumiss mke wangu jamani!
mzima lakini wewe?
Excel 09:33 Today
By Angelicious :
Baba ondoa hofu, siwezi kukusaliti bana kwako
ndo nimefika siambiwi sisikii
nimekumiss mke wangu jamani!
mzima lakini wewe?
miss neddy 18:02 Today
By Excel :
nimekumiss mke wangu jamani!
mzima lakini wewe?
nimekumiss mume wangu jamani mzima lakini
wewe
kijana vp? mbona hujagonga mlango...?
Hodi hodi mkuu
enhee, karibu! niambie chanzo cha kumuita miss N ni nini?