MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

mamii hata hilo wanniomba ruhusa? hebu chukua hii kwanza ufanye testing kama inaweza kuua!!


hand-gun-pistol-bullets.jpg


piga risasi hata Daudi1 akileta za kuleta! ila Angelicious... hmm! msamehe mama! karoho kananiumaaaa!!
Hatishiki mtu hapa nitamwaga ubongo wa mtu hapana chezea my wife plzzzz watu tuna machine tumetulia tu
ak47.jpg
 
Kuna transaction ya pesa namuandalia hapa... Hebu nitajie mahari kabisaaa

wacha papara wewe, ongea na mtoto wangu nameless girl, mamii akikuzingua.. chapa risasi!!

ile bunduki yako ya dhahabu hii hapa mama!!

aa-gun-gold-color-w-bullets-beside-it.jpg
 
Last edited by a moderator:
Asante sana dadiii... hii kitu nahisi leo itahusika kabisa...

usikosee mwanangu.. chambua kila neno huyu sharo analosema...! kuwa mwangalifu sana..

otherwise chukua hii ya high range, akikimbia tu, nasa shamba ya miguu!

leo Window7 hutoki hapa bure..

lancer.jpg
 
Last edited by a moderator:
usikosee mwanangu.. chambua kila neno huyu sharo analosema...! kuwa mwangalifu sana..

otherwise chukua hii ya high range, akikimbia tu, nasa shamba ya miguu!

leo Window7 hutoki hapa bure..

lancer.jpg

Sasa mkwe unanitisha hivi nitamuoa nameless girl kwel?
 
Last edited by a moderator:
Naona unataka nifanyie mazoezi kwako toka nilivyotoka vietnam muda umepita kidogo,sipendi masihara kabisa
View attachment 144861

aisee arsenal yako ina vibunduki vya kizamani mno! unamlindaje mpenzi wangu wa zamani Angelicious?

hebu cheki nilivyokuwa nampa ulinzi wa uhakika hapa..

hii inaitwa stridend SLBM!

Trident_II_missile_image.jpg


Hapa Angelicious malikia wangu wa zamani alikuwa analala kwa amani mno! hakuna wa kusogea, alipuke?

hebu cheki na hiki kifaa..! kinaitwa aircraft carrier!

uss-nimitz.jpg


ndio maana bado ana hisia za kunipenda malikia wangu wa zamani Angelicious!
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona kama mwili wako una vibrate boo, calm down please baby...

mwanangu, inakuwaje unaenda vichakani na vazi la kifalme? aisee mbona Window7 anaidhalilisha familia ya kifalme hii?

nimekwambia uwe mwangalifu atii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom