athante babu!! utanisindikiza siku nampeleka!Akishakuwa na utambuzi wa kujua baya na zuri, ili apokee mafundisho kwa yakini.........
Nikikuona nakulima ban
Nimepewa umodereta kwa leo tu
Paw atani-unban, wala sikuogopi.
Na huu umbea sijui nimeambukizwa humu mmu?:nimekataa
:majani7: manake siku hizi nikisikia mdundiko unapita shurti nianue sefuria ya ugali niweke kando
Ole wako uulizie zile stori zangu za kufumaniwa UNUNIO................LOL
He he he he, utakuwa ulikuwa unakula midomo ya kuku ulipokuwa mdogo
Unakuwa mmbea ukila hiyo
tatizo la huyu mzee, kuku akichinjwa mapaja na vidari anakula mwenyewe. Kichwa na miguu sie. Sasa hapa ni umbea na kuzurura tuuuu, inabidi nikaombewe. Hebu nidesie anamwaga sumu gani kulee?
Kaanika mambo yote hazarani
Kasema hadi siku aliyokupata wewe ilikuwa lini
Hivi wewe utahojiwa lini??
Mie nihojiwe?:behindsofa:
Nna siri za usalama wa taifa hapa, unatajka Paw anihamishe mjini eeh?:redfaces: mtasubiri sana aisee.
Hivi mie :mimba:alinipatia kwa bed ama majanini, manake dingi hajatulia aisee.
Mzazi hachaguliwi, basi tu:shut-mouth:
He he he, ndo siri zote zianikwe hazarani
Paw atajibeba siku hiyo, kama huwa anakunywa uji wa watoto ndio tutajua.
Kasema alikupatia juu ya nguzo ya umeme
HAHAHA
yaani kumbe alim'baka yule technician wa tanesco. Nilijua tu aisee, dingi noma huyu.
Siri za Paw nikianza kumsifia humu kama Natalia na rutherford msije mkaenda kuniibia . mume ajira mjini, ngoja nisiseme :shut-mouth:
Nawaaga wana -mmu. Leo nakaa mbali kabisa manake huyu mzazi wangu atatuathiri kisaikolojia. Nakaa na mama leo kulea mdogo wangu. Adios amigos
Mie ndio Invisible, unajua BAN??