MMU EXCLUSIVE INTVW IJUMAA @Mtambuzi kufunguka how he is KEEPING IT REAL in Marriage for 10 YEARS!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,661
2,000
Wakubwa zangu shikamooni!

Wera weraaaaaaaaaaa!!!!!! Mpoooooooooooo!!!! Fupa lililomshinda chiwawa kwa Fisi ni kama Big G tu!!!!!!!!! Lile Zee letu la Ukweee, zee la uhakika! Papaaaa mutambuzi, muzee ya darisalama in 1970s, NDANI YA NYUMBA KUTIRIRIKA LIVE BILA CHENGAAAA!!!!!!!!!!!! SI YA KUKOSA!!!!!! WALA SI YA KUSIMULIWA!!!!!!!!! NNE KAMILI ASUBUHI KAA KWENYE SCREEN!!!!!!!!

Topic: Keeping it real in Marriage for 10 YEARS!!!!!!! (10YEARS like 366days *10 Haloooooo!!!!)

Hosts: Lara 1 and Zinduna

Guest: Mtambuzi ( The Wise Man)

Time: 10:00 AM (Nairobi Time Line)You are all Welcome but DONT BRING THE ATTITUDE!!!!!!!!

ANGALIZO: Kwa hisani kubwa ya wise man himself This Topic is PERSONAL incase you chose not to notice!!!!!, sasa nawaombeni sana sana sana, WATCH OUT YOUR ATTITUDES, Dont hurt his feelings bila sababu ya msingi. Wote watu wazima MIMI NAWAAMINIA GREAT THINKERS YOU WILL BEHAVE!!!!!!!!!! Yale mambo ya kuingilia mtiririko hayatakuwepo. (It aint cool at all! Follow the rules people!)
 
Last edited by a moderator:

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,832
2,000
looking forward...for the interview...

Topic is personal?sijaelewa hapo...
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,189
2,000
Naisubiri sana ya Mtambuzi
Miaka kumi ya ndoa sio mchezo aise
Sisi wengine tunajikongoja ili tuweze kufikia muongo mmoja wa maisha ya ndoa
 
Last edited by a moderator:

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,025
1,500
King'asti, njoo umuone baba yako anahojiwa kwenye TV Live.

Afu nina hasira na Mtambuzi, atanikoma kesho.
 
Last edited by a moderator:

Swts

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
3,063
1,195
sipati pichaaaaaaaaare!!! oooi oi oi! Mtambuzi
aka gustavooo papaa la kireno
 
Last edited by a moderator:

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
40,832
2,000
Ahsante kaka....'pati taim' za usiku hizo, maisha magumu!

Ha haa ple sana.maisha magumu huku unatafuta wa kumpa ile Vitz? lol
utani huo...

ninapendekeza wewe ufanyiwe interview ssiku moja..
ujibu shutuma zote za ma dokta na wanawake wanao watibu lol
 

Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,599
2,000
Ha haa ple sana.maisha magumu huku unatafuta wa kumpa ile Vitz? lol
utani huo...

ninapendekeza wewe ufanyiwe interview ssiku moja..
ujibu shutuma zote za ma dokta na wanawake wanao watibu lol

Nikigeneralize experience yangu haitakuwa fair...kwa maadili ta kitabibu (medical ethics), Daktari haruhusiwi kuwa na mahusiano ya ki'mapenzi au kingono' na mgonjwa wake...so naamini maDaktari wengi hawafanyi hivyo mnavyodhani! Tatizo ni hulka ya kike kupenda mtu anayemjali (si lazima kimapenzi), na Daktari akijali basi anapendwa (si lazima kimapenzi)...basi wivu unawajaa tele!
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,831
2,000
SCREEN!!!!!!!!

Topic: Keeping it real in Marriage for 10 YEARS!!!!!!! (10YEARS like 366days *10 Haloooooo!!!!)

Hosts: Lara 1 and Zinduna

Guest: Mtambuzi ( The Wise Man)

Time: 10:00 AM (Nairobi Time Line)
You are all Welcome but DONT BRING THE ATTITUDE!!!!!!!!
Ni Baghdad time according to JF settings.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom