Naomba kufahamu unapataje hao watu unawaalika kwa interview??mchakato unakuwaje??isije ikawa watu wanahonga??tunataka uwaziiiiii????IJUMAAA hii mkuu, saa nne asubuhi! Si ya kukosa!

Naomba kufahamu unapataje hao watu unawaalika kwa interview??mchakato unakuwaje??isije ikawa watu wanahonga??tunataka uwaziiiiii????
Hahahaaaaa! KASHFA YA UFISAD MAPEMA YOTE HII!!!!!!!!!!! Zinduna unaitwa huku! Mbona waungwana hamna jema walakini!!!!!!!!!!
Mchakato uko hivi!
1.Tunatafuta topic interesting kama hiyo ya kesho
2.Tunaangali nani atafaa kujibu tuhumu willingly n yet bado awe entartaining.
3.Tunamualika na kumuomba acomfirm kama atashiriki bila shinikizo na hatoboa hadhira!
4. Akikubali tunamuuliza personal issues au chochote asichotaka kuulizwa juu ya topic, then we are good to go!!!!!
Maadam umeuliza kuna topic kama 3 hivi nzuri sana ila hazijapata Mgeni, kama kuna mtu interested kualikwa kuja kujibu plus ana uelewa/experiance na hiyo topic so that we can learn from him/her
Topic zenyewe
1. Keeping it together while going through a painfull Divorse after ---- number of years! (Giving it all away! The heart can hold on no longer!)
2. Challanges of raising your son/daughter with your partner who is not the real parent of the child. (step daughter/son)
3. Finding New Love after disapointments and heart break of a painfull marriage.
Anaetaka kufunguka na kushare na wenzie basi afanye ku PM tu tuangalie uingie lini kwenye ratiba! TOENI USHUHUDA wenzenu wajifunze.
Hata kama una interesting topic, jst PM na ungependa kuwa guest.

Nikigeneralize experience yangu haitakuwa fair...kwa maadili ta kitabibu (medical ethics), Daktari haruhusiwi kuwa na mahusiano ya ki'mapenzi au kingono' na mgonjwa wake...so naamini maDaktari wengi hawafanyi hivyo mnavyodhani! Tatizo ni hulka ya kike kupenda mtu anayemjali (si lazima kimapenzi), na Daktari akijali basi anapendwa (si lazima kimapenzi)...basi wivu unawajaa tele!
mbona muda mbaya huo. sis ma bankteller hatuwezi kuwa online mida hiyo!IJUMAAA hii mkuu, saa nne asubuhi! Si ya kukosa!
mbona muda mbaya huo. sis ma bankteller hatuwezi kuwa online mida hiyo!
Na hizi topik zake za kichokozi kwa wanawake? Kesho nakuwa ananilea nkya kwa muda.
ukimwogopesha sana hatafunguka vizuri! Mwache aje kwanza!