MMU EXCLUSIVE INTVW IJUMAA @Mtambuzi kufunguka how he is KEEPING IT REAL in Marriage for 10 YEARS!

Huu mtanage na Mtambuzi unauaccess vipi...mwe, wengine tekinolojia inatukata chenga!
 
Paw atani-unban, wala sikuogopi.
Na huu umbea sijui nimeambukizwa humu mmu?:nimekataa
:majani7: manake siku hizi nikisikia mdundiko unapita shurti nianue sefuria ya ugali niweke kando

Nikikuona nakulima ban

Nimepewa umodereta kwa leo tu
 
He he he he, utakuwa ulikuwa unakula midomo ya kuku ulipokuwa mdogo

Unakuwa mmbea ukila hiyo

Paw atani-unban, wala sikuogopi.
Na huu umbea sijui nimeambukizwa humu mmu?:nimekataa
:majani7: manake siku hizi nikisikia mdundiko unapita shurti nianue sefuria ya ugali niweke kando
 
He he he he, utakuwa ulikuwa unakula midomo ya kuku ulipokuwa mdogo

Unakuwa mmbea ukila hiyo

tatizo la huyu mzee, kuku akichinjwa mapaja na vidari anakula mwenyewe. Kichwa na miguu sie. Sasa hapa ni umbea na kuzurura tuuuu, inabidi nikaombewe. Hebu nidesie anamwaga sumu gani kulee?
 
Kaanika mambo yote hazarani
Kasema hadi siku aliyokupata wewe ilikuwa lini

Hivi wewe utahojiwa lini??

tatizo la huyu mzee, kuku akichinjwa mapaja na vidari anakula mwenyewe. Kichwa na miguu sie. Sasa hapa ni umbea na kuzurura tuuuu, inabidi nikaombewe. Hebu nidesie anamwaga sumu gani kulee?
 
Mie nihojiwe?:behindsofa:
Nna siri za usalama wa taifa hapa, unatajka Paw anihamishe mjini eeh?:redfaces: mtasubiri sana aisee.
Hivi mie :mimba:alinipatia kwa bed ama majanini, manake dingi hajatulia aisee.
Mzazi hachaguliwi, basi tu:shut-mouth:
Kaanika mambo yote hazarani
Kasema hadi siku aliyokupata wewe ilikuwa lini

Hivi wewe utahojiwa lini??
 
He he he, ndo siri zote zianikwe hazarani

Paw atajibeba siku hiyo, kama huwa anakunywa uji wa watoto ndio tutajua.

Kasema alikupatia juu ya nguzo ya umeme

Mie nihojiwe?:behindsofa:
Nna siri za usalama wa taifa hapa, unatajka Paw anihamishe mjini eeh?:redfaces: mtasubiri sana aisee.
Hivi mie :mimba:alinipatia kwa bed ama majanini, manake dingi hajatulia aisee.
Mzazi hachaguliwi, basi tu:shut-mouth:
 
HAHAHA
yaani kumbe alim'baka yule technician wa tanesco. Nilijua tu aisee, dingi noma huyu.
Siri za Paw nikianza kumsifia humu kama Natalia na rutherford msije mkaenda kuniibia buree. mume ajira mjini, ngoja nisiseme :shut-mouth:
He he he, ndo siri zote zianikwe hazarani

Paw atajibeba siku hiyo, kama huwa anakunywa uji wa watoto ndio tutajua.

Kasema alikupatia juu ya nguzo ya umeme
 
Biashara matangazo banaburee
Mpaishe Paw bana, kazi yote ya kukuweka mjini? Mpaishe afu nitakusaidia kumlinda

Mie nina kijiji, itabidi nijipaishe mwenyewe tu
HAHAHA
yaani kumbe alim'baka yule technician wa tanesco. Nilijua tu aisee, dingi noma huyu.
Siri za Paw nikianza kumsifia humu kama Natalia na rutherford msije mkaenda kuniibia . mume ajira mjini, ngoja nisiseme :shut-mouth:
 
Back
Top Bottom