MMU EXCLUSIVE INTERVIEW: Mtambuzi kufungua How he is keeping it real over 10 YRS in his Marriage!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,645
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,645 2,000
Wakubwa zangu shikamooni!

Karibuni katika MMU EXCLUSIVE INTERVIEW!!!!!!!!! Mimi penda nyinyi sana!

Topic: Keeping it real in Marriage over 10YRS

Host: Lara 1

Backstage: Zinduna

Guest: Mtambuzi


Epilouge:

Mtambuzi joined Jf in 29th Oct 2008,

Likes received 4961

Posts 4734


Kribu sana Mtambuzi katika kikaangio, hope ushajiloweka kwenye chumvi na limao na uko standy!!!!!


ANGALIZO:
Chonde chonde USIINGILIE MTIRIRIKO, SHIRIKI KWA LIKES TUUU HADI MKARIBISHWE JAMVINI. WOTE WATU WAZIMA NA AMINI UTOTO HAUTOKUWEPO LEO!!!!!! SHOW YOUR GREAT THINKERS SPIRITS!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
Qn 1: Nini kilikuvutia kujiunga na JF?
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 wakati huo Jamii Forum ilikuwa inaitwa Jambo Forum tulianza kupokea latest news za matukio mbalimbali kutoka jambo Forum kupitia email ya kazini na nilipofuatilia ndipo nilipogundua kwamba kumbe hata mimi naweza kujiunga na ndipo nilipojiunga hadi leo hii niko JF

 

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
Qn 2: Times are changing so is JF, waonaje changes ndani ya JF are we going for the better or worse?
Mabadiliko ni muhimu ili kwenda na wakati kwa kuwa dunia inakimbia na teknolojia inakua, hivyo mabadiliko ya JF tangu kuanzishwa kwake hadi leo hii imefikia pazuri na ndio maana hata wale wenye simu za mchina wanaweza ku access JF kwa urahisi.

 

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,645
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,645 2,000
Qn 3: Ukiwa na muda wa kutosha JF unazungumziaje suala la KURESIGN KWA MEMBERS PERMANENTLY akiwamo my favourite Faiza Foxy na wengineo? What keeps you comming back in JF yaer after year?
 

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
Qn 3: Ukiwa na muda wa kutosha JF unazungumziaje suala la KURESIGN KWA MEMBERS PERMANENTLY akiwamo my favourite Faiza Foxy na wengineo? What keeps you comming back in JF yaer after year?
Kusema kweli JF mimi huwa naiita Stress Free, ni eneo ambalo npata kila kitu kinachohusu maisha ya kila siku ya mwanaadamu, habari, ushauri, vichekesho na elimu kwa ujumla. Pia huwa napenda sana kuandika kuhusu mahusiano, mapenzi na urafiki, na kwa JF huwa napata changamoto nyingi sana, na hiyo inanifanya niwe nafanya utafiti kwanza kabla a kuweka bandiko na hilo huwa linanisaidia sana.


Kuhusu members waliojiondoa moja kwa moja sina uhakika sana na hilo maana humu yanazungumzwa mengi, na kuna minong'ono kuwa kuna baadhi ya members wamebadilisha ID au wanazo mbili, kwa hiyo kuna uwezekano wale tunaosema wamejiondoa kumbe bado wapo humu na tunacheka nao kila uchao…..
Msinirushie mawe jamani.......LOL
 

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
Qn 4: Enzi zenu pornography hazikuwepo, 1[SUP]st[/SUP] time performance ulicopy wapi maujuzi au ndo ile mlaji hakosei mdomo hata ikiwa giza? LOL!
Ha ha ha haaa, ni kweli lakini kwa mimi niliyekulia kijijini hizo zilikuwepo sana, nakumbuka tulikuwa tunaenda mtoni kuchungulia wanawake wakioga, halafu nakumbuka kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa ni mkubwa kwangu ki umri nilimfuma anapiga chabo mahali nyumbani kwa mama mmoja mjane alikuwa anananiliu na mzee mmoja anakula vitu na mimi nikapenyeza jicho na kuchungulia na hivyo nikajua kuwa kumbe hiyo mambo inafanywaga hivyo….


 

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,645
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,645 2,000
You are so NASTY!!!!!!!!! Damn!!

Qn 5: Mkeo mmeshakula anivesary kadha wa kadha, funguka kidogo What Present do you usually get your wife katika anivesary yenu, unafanya nini ili kuhakikisha she feels special in that day na haipiti jst like any other days?


 

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
You are so NASTY!!!!!!!!! Damn!!

Qn 5: Mkeo mmeshakula anivesary kadha wa kadha, funguka kidogo What Present do you usually get your wife katika anivesary yenu, unafanya nini ili kuhakikisha she feels special in that day na haipiti jst like any other days?


Kwa kweli hata sikumbuki hayo mambo, kwa kawaida kila ninapojisikia kumnunulia mama Ngina zawadi nafanya hivyo bila kuangalia kuwa kuna tukio gani.Mimi huwa sitabiriki kabisa……….


 

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,645
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,645 2,000
Ujanja wote huo babu!!!!!

Qn 6: Tabia ya wanandoa kutake each other for granted, na kuacha kufanya vitu vidogo vidogo ambayo they mean a lot to the partner kama kumpelekea breakfast on bed, kumnunulia zawadi na Kumsifia yeye mzuri!!! Vipi kwa upande wako, unakabilianaje na hali?


 

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
Ujanja wote huo babu!!!!!

Qn 6: Tabia ya wanandoa kutake each other for granted, na kuacha kufanya vitu vidogo vidogo ambayo they mean a lot to the partner kama kumpelekea breakfast on bed, kumnunulia zawadi na Kumsifia yeye mzuri!!! Vipi kwa upande wako, unakabilianaje na hali?


Unajua kila mtu anayo namna yake ya kutaka kufikisha ujumbe kama amekerwa na mwenzi wake. Kwangu mimi hilo sio tatizo, labda tatizo ni je itamchukua siku ngapi kusamehe na kusahau? Kama atafanya hivyo kw asiku moja kisha anaendelea na ratiba yake kwangu mimi inatosha kunipa ujumbe kuwa nilimkera na nitajirekebisha, lakini wiki au mwezi, basi hili ni tatizo.

Kwa maoni yang nadhani huo mtindo si mzuri kwa wanandoa na sizungumzii tu wanawake hata wanaume pia, iwapo kuna tatizo inabidi walizungumze na kulimaza ili kurudisha hali ya upendo ndani ya nyumba......
Najua ni ngumu kukubal ushauri huu, lakini ukwel ndio huo............Tujirekebishe.....!
 

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Messages
8,810
Points
2,000

Mtambuzi

Platinum Member
Joined Oct 29, 2008
8,810 2,000
Qn 7: Ukijua mkeo kakuwekea Mambo yetu yaleee ya LIMBWATA, na ameconfess mwenyewe utachukua hatua gani? (Mind you you shared a decade with her!)
Kwanza samini katika mambo hayo, kwa sababu najua kinachotokea ni mtu kucheza na saikolojia tu.....

Lakini pia sidhani kama linaweza kutokea kwa sababu mke wangu amezaliwa na kukulia katika mazingira ya kumjua Mungu, labda nisema LIMBWATA lake analotumia ni Biblia maana hiyo ndiyo silaha yake kubwa sana anayotumia kukemea na kumuomba Mungu ili ailinde ndoa yetu...

 

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,645
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,645 2,000
Qn 8: Suala la ndoa nyingi kudumishwa na Financial Stability, ambapo pesa ikikata mwanaume nageuka mwanaume suruali, heshima yote kushney babu G! Does this thought sometimes give you the creappies at night? Je unapambana usifulie, au you jst live ya life na unamuamini mkeo 100% ukifulia heshima haitoshuka?
 

Forum statistics

Threads 1,389,291
Members 527,879
Posts 34,022,221
Top