MMU baadhi yetu tupunguze ulalamikaji

MMU baadhi yetu tupunguze ulalamikaji

Sasa ukiombwa si useme tu sina mpaka uanzishe uzi...mwambie sina na sitakuwanayo...simple

Sent using Jamii Forums mobile app
bora aaibike kwa msichana mmoja kulikoni dunia nzima ijue ameshindwana na buku teni kwa kuweka uzi humu. nawakati hilo buku teni wengine humu ndo vocha yao kwa siku.
 
Wanaolalamika siyo wanaume wa ukweli.Mwanaume wa kweli haliilii ovyo na ukiona analalamika ujue serious issue.Hongera kwa kuliona hilo!
asante.

na ndio maana hawa wavulanawanaume wanao lialia hua naona aibu sana
hakyanani kuna marijali ni wapogi siriazi na familia wasiri na watunzaji wazuri sana ila hili kundi dogo laulalamikaji linataka kuharibu watu wengi.
 
Mkuu unajua wengine wanakua na jazba mpaka wanapitiliza,ila wakivuka mipaka JF wanakutuliza..
 
Mpka dakika hii tunaenda mtamboni sijapata kitu
😀😀😀😀😀
Samahani naomba nikuhoji:
Kwani wewe uliomba kama mkopo, msaada, ruzuku, hisani, mchango au ilikuwaje?
tehe tehe tehe
hahahahhahahha
 
😀😀😀😀😀
Samahani naomba nikuhoji:
Kwani wewe uliomba kama mkopo, msaada, ruzuku, hisani, mchango au ilikuwaje?
tehe tehe tehe
hahahahhahahha
Msaada kama vile anatoa sadaka tu
 
Ndo mjue wanaume wanavumilia tu ila wengi wenu ni mabingwa wa kukera[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nishatoa malalamiko yangu
 
wanawake wana mapungufu mengi ndio maana imeandikwa"ishi na mwanamke kwa akili"
 
Back
Top Bottom