MMU baadhi yetu tupunguze ulalamikaji

MMU baadhi yetu tupunguze ulalamikaji

yaani sijui limekuwa jukwaa la watoto au veep post hazina mantiki ila za ulalamikaji tu

ukichunguza mtoa mada eti utasikia yupo chuo au form six au kitaan pia yaani ni tabu
Yupo form Six kama sio chuo, alafu anawaiga wahenga....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hatari sana aiseeee
 
Inategemeana huyo anakuja kutoa Uzi humu amekutana na nini huko alikotoka Mimi ni mwanamke ila kuna baadhi ya wanawake wamezidi unamkera mtu hadi anakua na dukuduku na kwakua jukwaa hili lipo anaamua kutuliza dukuduku lake hapa maana akati mwingine michango ya wadau inaeza kufanya ukasahau kama umekerwa au imekutana na kibomu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyie mkigongwa na mwanaume mmoja alafu awe wa dar asikupandishe kitonga mnajumuisha wanaume wote wa dar kuwa ni wavivu na hawawezi kula papuchi vizuri
 
Mkuu wewe ni wa dar?
 
Inategemeana huyo anakuja kutoa Uzi humu amekutana na nini huko alikotoka Mimi ni mwanamke ila kuna baadhi ya wanawake wamezidi unamkera mtu hadi anakua na dukuduku na kwakua jukwaa hili lipo anaamua kutuliza dukuduku lake hapa maana akati mwingine michango ya wadau inaeza kufanya ukasahau kama umekerwa au imekutana na kibomu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Lakini wengine wanatoa mada kitoto sana.
Mada hiyo hiyo akiandika mwingine unamuelewa. Yupo mmoja id yake ina masitasita mengi. Angalia mada zake utaniambia. Ni km za mtoto wa grade 4
 
ahhah anajiita chata 6666 sijui ? sure maa!sema mie huwa sisomi !siingii kbs naangalia na vya kusoma
 
Wanaolalamika siyo wanaume wa ukweli.Mwanaume wa kweli haliilii ovyo na ukiona analalamika ujue serious issue.Hongera kwa kuliona hilo!
 
nadhani labda wanalipiza mnavyowaita vibamia na kuwaimbia mwanaume mashine mara sijui wanaume wa dar mara sijui pambana na hali yako inawauma sana.
 
basi pawe na jukwaa la mabondia
 
Back
Top Bottom