MMU all Stars


Ameachiwa saa hizi ila amekuwa JF Senior Expert Member badala ya JF Premium Member
Sababu, sijui.
 
Kwahiyo tunatakiwa kufanya competition from this ama!??

Acha nianze campaign:
Kumchagua mentor ZAP sh. 10,000 kwenda number 07844****1.
 
mkuu mtaa gani huu...hujaonekana kwenye geti togeza patii pale lenana bhanaaa
Mimi simwibii mtu bana,..nimejiajiri....nabrash viatu hapo karoleni karibu na soweto garden.
 
'likes' zinatafutwa kwa nguvu aisee, utafikiri ccm ilivyoiba kura 2010
 
teh teh teh teh

Uporoto
Uporoto 1..


Sjakusahau bana..
ila nilichukua watu waliotu
chini ya page na walio online kwa sasa
kwa bahati mbaya ulikuwa kule kwa siasa lolz..

Hujambo??
aisee.... nilijua multiple IDs ni kwa wanaume tu
 
he??????????

ina maana ulimakafu na afrodenzi mtu mmoja????????/
Uko sahihi mkuu, ni mtu mmoja japo hapo chini kajaribu ku neutralize kwamba eti alikuwa anamjibu kwa utani,.........uongo mtupu, ndiye yeyey huyo alijisahau tu kulog out na kubadili ID. Sasa tumejua!!!
 
Boss bana
Hahahahahah
Soma tu comment Mkuu halafu potezea
Saaaasa naanza kuhisi kwamba Ulimakafu=Afrodenz=CPU
Ngoja niunde tume kuchunguza aina ya uandishi wao nitakuja na majibu. MODS .....Wape likizo hawa wakati tunawachunguza
 
Yaani umenisahau ndugu yako wa Mbeya ambaye hushinda/kulala/kuamkia Jei Efu ?


Subiri tu all stars kila kona...Tusker fame hiyoooooooooooo, BBA hiyooooooooo sasa JF hiyoooooooooooo...what next? jiulize....soon house all stars..
 
we ushije nianzishia za AshaDii Na FF..
Balaa staki... nimemjibu Uporoto kwa utani...
usiingilie usicho kijua...

Hauko kwenye list la MMU all stars, sijui JF all stars? copy and paste bongo sasa JF?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…