Mmoja Wa Mawaziri Hawa Adaiwa Ni Mmarekani!

ishu ni kwamba Tanzania haitambui raia wake kuwa na uraia wa nchi nyingine hivyo ukiwa na uraia wa nchi nyingine ni kama umeukana uraia wa tz. Kwa Marekani sijui kama wanakubali uraia wa nchi mbili wenye data watuelimishe
 
hivi kuna kiongozi yeyote wa marekani anaweza fikiria upumbavu kama wa hawa mawaziri wetu?nini hasa kinafanya mpaka wawe na uoga wote huo?kuna zaidi ya wizi kweli na chukua chako mapema?wanafanya hivyo ili wakishaiba kama bali wakajifiche huko.kwakweli mimi nikiona mtu anawashabikia sisiemu namuona punguani flani vile,hivi hawaoni wenzao wanavyo wanavyoiba na kujitengenezea mazingira yakukimbia?nakuwaacha wao wakiteseka na maisha magumu kilasiku.
 
Back
Top Bottom