Mmoja Wa Mawaziri Hawa Adaiwa Ni Mmarekani!

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
209
68
Kwa mujibu wa gazeti la Dira , inadaiwa, kuwa kuna waziri katika Wizara ya Viwanda na Biashara mwenye uraia wa Marekani. Kwamba Waziri huyo anatumia hati mbili za kusafiria. Pichani kushoto ni Waziri Cyril Chami na kulia ni Naibu wake Lazaro Nyalandu.
 

Attachments

  • 333.jpg
    333.jpg
    32.6 KB · Views: 108
umeichomeka kwa mtindo wa uchokonozi haina chanzo wala mantiki, kama una habari za uhakika za waziri huyo unaogopa nini kumtaja.
 
kutoa picha mbili za mawaziri wakati mmoja kati yao hahusiki na kashfa hiyo, sio kutenda haki
 
gazeti la Dira linamilikiwa na nani, kwani kabla ya kutoa maoni umiliki huo unaweza kusadia dhamira ya mwandishi hasa anapoogopa kumtaja mhusika wa kashfa ni uzushi na kututaka wengine tutoe maoni yenye kukosa ushahidi. Kumbuka Jf haina mipaka ya kumshambulia mtu au taasisi ni muhimu tukaleta hapa thread zenye lengo la kejenga kwa maana ya kuzingatia chanzo cha taarifa sahihi.
Kwa mujibu wa gazeti la Dira , inadaiwa, kuwa kuna waziri katika Wizara ya Viwanda na Biashara mwenye uraia wa Marekani. Kwamba Waziri huyo anatumia hati mbili za kusafiria. Pichani kushoto ni Waziri Cyril Chami na kulia ni Naibu wake Lazaro Nyalandu.
 
Kuna naibu wazir Athumani Mfutakamba inasemekana ana uraia wa Marekani,jamaa mmoja kijiweni alisoma na mtoto wa huyo waziri alipata data hizo. Mfutakamba amewahi kuishi State kwa muda mrefu na ndo alikopatia uraia.Ingawa bado ni tuhuma na kwakua sheria ya uraia wa nchi 2 bado haijaja ni wajibu wa viongozi wetu kuonesha uzalendo kwa nchi yetu
 
....hata hao wasio na uraia mbili (wakwere, wakurya, wabena, wafipa nk) wanatusaidia nini??? ishi ni kwamba kila mtu aingie mtaani achukue chake kabla yua vitu havijaisha
 
Back
Top Bottom