Mtu anapopata mauti cha kufichaficha ni nini
Huu ni udhaifu kuhusu suala la usalama
Vyombo vya Habari navyo vinazidi kujitia
aibu kila uchao,sasa kama waliona kitambulisho
kuna tatizo gani kusema sehemu anayofanyia
kazi.
Hii ni aibu kwa wana habari jueni hapa Tanzania
kila mtu ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa.