bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
''.................................nashindwa kujizuia kabisa, ni hali tu inayonitokea
kila mara ninapokuwa na mke wangu faragha. Kiukweli kila tunapofanya tendo la ndoa,
ni lazima niivute taswira ya marehemu mke wangu wa kwanza ndipo niweze kumaliza mzunguko (round)''.
Alisikika huyu kaka alipokuwa akihojiwa na mtaalamu wa masuala ya mahusiano,
huko Kericho, Kenya. Huyu kaka ameoa mke wa pili baada ya mke wa kwanza kufariki miaka 5 iliyopita.
Wapendwa mnasemaje kuhusu kuathirika kwa style hii..........?
Kuna mtu yameshamkuta haya?
Hebu tupeane uzoefu basi............................
KARIBUNI KAHAWA, HAPA KWA MSISIRI!!!!!!!!!!!!!!na kibaridi hiki cha asubuhi kazi kweli kweli...........
BWANA AWATANGULIE NYOTE.