MMmmmh!.......nimeathirika........................ .......

Hehehehehe.... we noma...khaa!

Umenikumbusha nliwahi kudeti kabinti flani hivi wakati tunafanya tabia mbaya kakapiga kelele "Daniel nakuja darling...."......... Huyo daniel sijui ndo nani yailah toba......... Na ndo ukawa mwisho wetu hakyanani.

Babu, heheheheheh..
usikute kalikuwa kanamwita yule wa Biblia..heheheheheh!!!
Aliona mbingu i karibu..lol!
 
Babu, heheheheheh..
usikute kalikuwa kanamwita yule wa Biblia..heheheheheh!!!
Aliona mbingu i karibu..lol!
Basi mzee mzima nilivo na mawivu, nikapiga chini hiyo CRAP!........ Raha nikupe mimi, utukufu apewe mwingine....... wapi na wapi bana?
 
Hapo kwenye bold..utata mtupu!
Human psychology iko kwamba, mara nyingi unapoingia kwenye uhusiano ambapo tayari alikuwepo wa mwanzo hasa kwenye kesi kama hii ya mke "aliyeondoka siyo kwa kupenda bali kwa mapenzi ya mola", "wakuja" ana kazi kwelikweli.Kuna kipimo tayari cha utendaji!

Mume huyo ana kazi ya kuvuka kizingiti cha kulinganisha. Ajue kila mtu ana vionjo tofauti. Bahati mbaya sana mke wa pili hajafikia kiwango kile na hata hawezi kulingana kwa vionjo maana binadamu wako tofauti.

Mume ana bahati mbaya kuwa kilinganisho kimetokea kwenye tendo hilo.Wengine wanaweza kujikuta hawaridhishwi na mapishi, usafi, tabia njema, na mengineyo.

Cha kufanya sidhani ni kuongea na mke mpya kuhusu hili swala bali ni kwa mume kujitahidi kuzoea vionjo vipya na hata kujaribu kumwelekeza mke mpya nini akipendacho na kuepuka kuvuta hisia kwa marehemu!

Hili nalo ni neno pia,
thanks, hapa ndo pale tunapotakiwa tukubali mapungufu ya mwenzio na ujaribu kuyaishi................................
 
Labda swali jingine ni muda gani ulipita kati ya mke wa kwanza na huyo wa pili? Na kama kulikuwa na tatizo la namna hii kabla ya kuamua kufunga ndoa?

huyo bwana ni miaka 5 imepita toka amefiwa na mkewe,
na ni miaka 3 toka ameingia kwenye ndoa ya pili,
na hii hali bado inamtokea.....................
 
Hehehehehe.... we noma...khaa!

Umenikumbusha nliwahi kudeti kabinti flani hivi wakati tunafanya tabia mbaya kakapiga kelele "Daniel nakuja darling...."......... Huyo daniel sijui ndo nani yailah toba......... Na ndo ukawa mwisho wetu hakyanani.

bora weye babu umelishuhudia hili enzi hizo ukiwa unafanya tabia mbaya,
sasa huyu mshikaji yupo kwenye ndoa tayari......
hebu msaidie bana, tumia busara yako mzee............
 
Basi mzee mzima nilivo na mawivu, nikapiga chini hiyo CRAP!........ Raha nikupe mimi, utukufu apewe mwingine....... wapi na wapi bana?

heheh..huo haukuwa utukufu...inaonyesha shughuli ya babu ilikuwa nzito bana...Hapo alibakisha kumwomba yule maskini lazaro amdondoshee tone la maji....!hahahaha...
 
bora weye babu umelishuhudia hili enzi hizo ukiwa unafanya tabia mbaya,
sasa huyu mshikaji yupo kwenye ndoa tayari......
hebu msaidie bana, tumia busara yako mzee............

Kusema la ukweli bacha,'
kama mshkaji anaridhika na mkewe pia anaridhika aendelee tu..
Ikiwa ni kwa nia njema, basi yote mema!
Ama na hapo nimekosea tena..
 
Mambo kama hayo yanaweza kutokea kweli, ni tatizo la kisaikolojia ambalo aidha awaone wataalamu wamshauri au akae muda mwingi na mkewe na kumweleza jinsi ambavyo atajisikia vizuri kwenye tendo la ndoa. Kwenye ndoa kunahitaji uwazi na ukweli lakini asimwambie mkewe kwamba akitaka kumaliza "round" maana hatapendezwa. Pole yake sana.
"usione soo, zungumza na mwenzio"

okay, sawa Pof. kwahiyo jamaa ajivue gamba sio kwa kuzungumza na wife.........
hopefully siokwa hisani ya watu wa USA lakini................(joke)
 
Kusema la ukweli bacha,'
kama mshkaji anaridhika na mkewe pia anaridhika aendelee tu..
Ikiwa ni kwa nia njema, basi yote mema!
Ama na hapo nimekosea tena..

okay, nadhani upo sawa!!!!
watu wanamshauri ajivue gamba, a ukubali hali iliyopo sasa!!!!!
 
bora weye babu umelishuhudia hili enzi hizo ukiwa unafanya tabia mbaya,
sasa huyu mshikaji yupo kwenye ndoa tayari......
hebu msaidie bana, tumia busara yako mzee............
Mkuu hiyo ni ngumu sana......

Nina rafiki yangu alifiwa na mkewe. Ameoa mke mwingine. Picha kuuuuuuuuuuubwa ya mkewe wa zamani bado iko sebuleni. Mke mpya inamboa sana manake jamaa kila akirudi job lazima aiangalie na kuishika. Tumejaribu kumwambia jamaa aitoe ili asimuumize mke wa sasa jamaa amegoma. Eti yuko tayari mke wa sasa aondoke kuliko kuitoa ile picha pale ukutani.

Haya mambo ya mapenzi ni magumu sana. Inahitaji muda kusahau....kwahiyo huyo bibie avumilie tu, iko siku jamaa atasahau....kungekuwa hakuna kusahau duniani kusingekalika.
 
safi, bora umetupa na uzoefu huu mwingine lol....
picha ya wife wa kwanza ukutani na maisha yanaendelea, kweli kazi ipo!!!!!!!!!
........................time will tell.......................
 
In a Nutshell ..
1. He is phycologically damaged ..
2. Needs professional help..
He will never ever move on by himself ..
........ doesn't know how ..!
 
okay, nadhani upo sawa!!!!
watu wanamshauri ajivue gamba, a ukubali hali iliyopo sasa!!!!!

Kujivua gamaba kuna madhara yake,
especially kwa kuwa hawa dada zetu hawatabiriki...
hao wanashauri hivyo wakiassume binti atakuwa muelewa na atampa ushirikiano unaoostahili.
Lakini kuna upande mwingine kwamba demu atajisikiaje...yanaii mimi bado nalinganishwa na marehemu? yani game langu ni ndogo kiasi hicho?
inaweza ikaharibu kabisa...
 
Mkuu hiyo ni ngumu sana......

Nina rafiki yangu alifiwa na mkewe. Ameoa mke mwingine. Picha kuuuuuuuuuuubwa ya mkewe wa zamani bado iko sebuleni. Mke mpya inamboa sana manake jamaa kila akirudi job lazima aiangalie na kuishika. Tumejaribu kumwambia jamaa aitoe ili asimuumize mke wa sasa jamaa amegoma. Eti yuko tayari mke wa sasa aondoke kuliko kuitoa ile picha pale ukutani.

Haya mambo ya mapenzi ni magumu sana. Inahitaji muda kusahau....kwahiyo huyo bibie avumilie tu, iko siku jamaa atasahau....kungekuwa hakuna kusahau duniani kusingekalika.

Mmh..babu! Huyu jamaa, unayemwita Jamaa yako am assuming ni agemate wako...
So, sidhani kama nitakuwa nimekosea niki-assume pia kwamba hiyo picha kama si ya kuchorwa kwa mkono
basi walau ni zilee za black n white ...so ina carry kumbukumbu nyingi sana kwake na huwezi kupata nyingine kama hiyo at this tym!
Mwache aiweke kama archive...
 
ina maana akikubali kuzidi kuiweka hiyo picha,
basi akubali na hizo consequences zake.....au sio?
 
Masikini.........pole zake inavyoelekea alimpenda sana mkewe wa kwanza na pengine alioa wa pili haraka sana akiwa bado hajakubali kuwa mkewe wa kwanza hayuko na hatokuweko tena naye. Hakuiacha wala kuia nafasi denial stage ikakomaa na kupita!!

Au huyu wa pili hampi alivyokuwa anapewa na marahemu?? Si aseme naye tu, asione soo! LOL

Kusema naye inategemea atasemanaye vipi sidhani kuna mtu atakubali ukweli kwamba yeye si bora kama aliyekuwepo.Unless hili tatizo linakua adressed kwa njia nyingine or the situation inaweza kuwa even mbaya zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom