Hizo zipo za mens mbona!
Wa kwako anazo ngapi?
Utamwambia anunue? Au utamnunulia lini?
Ila ukimshaur anunue naomba uje JF kuomba Msaada hasa hasa JF Doctors,nundu utakazokuw nazo. Chichemi mie
My gosh!... Lakn jamaa yuko sawa...Inaonyesha wanabadilishana na mkewe hata nguo za ndani.
Ni upendo.