Mwanza wasanii wengi waliopitia mikononi mwa KIDBWAY wanaishia pabaya sana

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,

Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY

SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI

Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
 
Hivi KidBway yupo wapi sikuhz ....mara ya mwisho nilisikia Clouds wanamtaja taja kuwa ni mwajiriwa wao
 
Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,

Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY

SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI

Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
Niliona interview ya hussein machozi anasema kipindi anasimamiwa na kidbway alikuwa anaishi chumba kimoja kwa mwanamboka na chumba kilikuwa kinaingiliwa maji mvua ikinyesha.

Tena kipindi hicho alikuwa anahit vibaya sana. Akifanya show kidbway anachukua hela karibu zote anamwachia hela ya kula tu!

Kipindi icho icho bibi yake singida alikuwa anaumwa sana ikawa inahitajika hela afanyiwe operation yeye hana hela mpaka ndugu wakawa wanamshangaa yaan hyu jamaa kuhit kote kule hela hana!

Wengi wakawa wanamhukumu kuwa ana hela ila anazibania tu! Ilifikia kipindi uwezo wa kununua pamba kali alikuwa hana mpaka kidbway akawa anamsusia baadhi ya nguo zake

Sasa kila akiuliza hela zinaenda wapi kidbway alikuwa anamjibu zinatumika kwenye promotion

Alimalizia kwa kusema alianza kuiona hela yake ya muziki alivyoachana na kidbway ingawa mwishoni alisema hana tatizo lolote na kidbway

HITIMISHO; Jamani hawa wasanii wetu waoneni tu kwenye tv wakishine ila wanapitia magumu mno
 
Kidbwoy yupo clouds sio RFA. Yote kwa yote ulichosema ni kweli kabisa.
 
Mapromota na roho zao, mtu anakusaidia kutoka, namkataba wa kimangungo ndo hayo, pesa anachukua yeye we unabaki na jina tu.
 
Mimi naamini wasanii wengi waliojiona wamekua na kutemana na KidBway wengi wamefeli....
 
Habari wakuu, Nilikuwa najaribu kufikiria hapa vijana waliowahi kutamba kutoka mwanza wengi wakiwa signed na record label ya TETEMESHA PRODUCTION. ambayo inamilikiwa na Mtangazaji wa RFA, Kidbway, wanaishia pabaya sana wengi wao huishia maisha ya puto, yaani kuvuma mda mchache na kujulikana kwa kasi kisha kupotea gafla na kuishia mitaani katika hali mbaya kuliko mwanzo,

Hapa sijajua tatzo linatokana na nini,
Mafano wa wawasanii ambao walipitia mkononi mwa KIDBWAY

SAJNA,
C SIR MADINI
BARAKA DA PRICE
MO MUSIC
MC KOYO
HUSEIN MACHOZI

Na wengineo hawa wote kwa namna moja waliwahi kupita mikononi kwa TETEMESHA PRODUCTION. ila wote walivuma sana lakin hadi sasa hakuna ambae yupo mainstream tena.
Hii ni kutokana na regime ya Ruge katika music industry
 
-Mbona huwasemi producer kayombo the doctor aliwatoa akina man b, best naso, chelea man, n.k
-Mbona huwasem akina akina 20%, chini ya man water
-Mbona hiwasemmi akina trizzy wa masogange,watupori n.k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom