Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 747
- 1,814
Lakini mmmmh
Madem huwa hatupendi short
Sema kitumbua anakitafuna vyema tu ๐๐๐๐Lakini mmmmhView attachment 2576700Madem huwa hatupendi short
Kwani hupendi wafupi wwSikujua kama ni mfupi kiias hiki
Mmmh kweli??Sema kitumbua anakitafuna vyema tu ๐๐๐๐
Yeah wanakwambia mwanaume ni pesa vingine vitajiongeza vyenyewe ๐๐Mmmh kweli??
Hiij voting ya mom na nope ni ya nn ๐คLakini mmmmhView attachment 2576700Madem huwa hatupendi short
Bila mshipa??Yeah wanakwambia mwanaume ni pesa vingine vitajiongeza vyenyewe ๐๐
FungukaHiij voting ya mom na nope ni ya nn ๐ค
Kevin hart ni mfupi kweli sio viatu wala nnOoh au huyo dada kavaa heels ๐ inch 6๐
Utajiongeza wenyewe ๐๐๐Bila mshipa??
Ok, here's a good comedian ๐ ufupi hauna shida atatumia hata ngazi or meza ili amfikie babe wake for a kiss๐Kevin hart ni mfupi kweli sio viatu wala nn
For sure ila wanawake mna chuki sana na wanaume wafupi i don't know why ๐คOk, here's a good comedian ๐ ufupi hauna shida atatumia hata ngazi or meza ili amfikie babe wake for a kiss๐
Wala si chuki kwani wamejiumba wawe wafupi? Muhimu kupendana, mengine mbwembwe tu.For sure ila wanawake mna chuki sana na wanaume wafupi i don't know why ๐ค