Mmmmh sasa Hapa PABAYA

Mmmmh sasa Hapa PABAYA

Sikujua kama ni hayo, nimefungua uzi huu kwa bahati mbaya. Astakafilulllahhh, mwaniharibia swaumu.
 
Aiseeee!....kumbe nazakiume zipo????..piga ua sivai...nitakomaaa na boxa za prada milano!...
 
Mbona washamba nyie si zipo G string za kiume

Ndiyo maana mashoga wanaongezeka, mwanaume mzima ukavae G-string? Hata kama ni ya kiume bana si inaingia kule kunako? na nyie wanawake wenye mabwana zenu wanaopenda uzungu sana muwe mnajiuliza bana khaaaaaa! ndiyo maana vijana wa siku hizi yani wanavaa nguo zinaacha makalio yote nje kisa ni nini? G-STRING ya kiume! ole wake kijana wangu nimkute atajuta kuvaa kihuni.
 
Sasa utamfunua kwenye masaburi?
 
Kwa kweli mimi ni mshamba kwa kuwa za kiume sijawahi kuziona, na hata nikiziona siwezi kuzisogelea!!!!!!!!!
 
zipo za kiume bwana na zinauzwa madukani kwa uwazi kabisa mbona sioni kitu kigeni hapo??
 
Hakuna Mwanaume timamu wa kuvaa hizo Chup,, cjui G""...LABDA KESHAANZA KUWA UBWABWA.....

unataka kuniambia wanaotengeneza kwa ajili ya wanaume ni kwa ajili ya mashoga? dah jamani tusiwe na mawazo tofauti mkuu mbona pande za huku zinauzwa kabisa zipo kwa ajili ya wanaume na wanawake? tofauti yake ni pale mbele tu maana kwa mwanaume ni papana kidogo tofauti na mwanamke. anyway siwezi kuwabishia maana ni kitu kigeni bongo ila huku zinauzika sana tena ni gharama kweli na hasa kipindi cha joto wanavaa hizo unakuwa fresh kabisa, sijawahi kununua maana kwangu ni gharama kuzinunua zina bei kidogo naziona kwa macho tu.
 
Wewe uliziona wapi?

$(KGrHqMOKnQE6YBGF(9BBO)Mln)ddg~~60_35.JPG
 
Hakuna Mwanaume timamu wa kuvaa hizo Chup,, cjui G""...LABDA KESHAANZA KUWA UBWABWA.....

ushoga ni tabia ya mtu sidhani kama g string zinaweza kukufanya uwe shoga? na wale ambao hawavai chupi kabisa tuwaweke kwenye kundi gani?? hizo chupi kama nyingine tu sema kinachowashtua wengi ni kile kimkanda kupita katikati ya makalio hapo ndipo panashida kwa wengi.
 
..... iitwe g string au g kamba, sijuai ila mwnamume anaye vaa hiyo mie na tuma application......!!!
 
Back
Top Bottom