Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
ILA MI HUWA HILI SWALI HALINITOKAGI WALAHI KILA NIKIWAONA COUPLE YA WAZEE!
ehehehhehhehehe
BADO WANAFANYAGAAAAA?
wanajipindaaaaa ?
ahahahhahahha
hii asisome Dark City na Fixed Point
hakuna kuchapana fimbo bana mi najiuliziaga tu af kimoyomoyo huwa hata sijawahi kumshirikisha mtu hili wazo!
Usiwe na shaka tu mdogo wangu.....
Mambo yatajileta yenyewe...ila usisahau kumtuafutia mzee kastata kama vile konyaji ili walau akijaribu safari basi afike salama!!
Babu DC!!