Mmmhh...hubby kaninunia kisa..?

Mmmhh...hubby kaninunia kisa..?

ahahaahhah mi ntamfunga babu na kitambaa cheuthiiiiiiiiiiiiiiiii hatasoma
banaaa theeeem baathi!
ahahahhahahahhahhahaha babu na bibi bana!
hakyanani sakapal akili zake sio mzima
sasa ndio nini?

hahahahaaaa wifiii we acha tuu Babu DC amenikataza nisilete feed back ya yaliyotokea jana ila daah nimejifunza mengi ndo maana watu wanasema uzee dawa kumbe na haya yanakuwemo kwi kwi kwi kwiii
 
Kuna nini tena hapa??
sakapal, venine

Babu DC!!


eeeh hata mie nashangaa kujiona sura yangu halafu ina jina jingine............ na huyu amejiunga tangu 2010 lakini sikupata kumfahamu wala kuona akitumia hii avatar kabla, sasa sjui nani kamcopy mwenzie mmhhhh!!!!
 
Hata HIV Mkuu siku moja nilikuwa naangalia kipindi cha CNN kuhusu idadi kubwa ya wazee ambao wamekumbana na mawayawaya baada ya kujirusha kwa kutumia haya makitu. Grandpas & Grandmas weenye miaka 65 na kuendelea wanaathirika sana kwa kuendelea kutaka kutopitwa kwenye hii kitu inaitwa utamu.

Damn viagra!

Siku hizi hadi wazee wanayakwaa maSTDs.
 
mbembeleze mume huyo. raha ya ndoa kubembelezana. ila pata picha wangekuwa ni wazazi wako wewe halafu mmeo anaskia hicho kilio cha mama mkwe wake, ww ungejisikiaje? nafikiri mmeo anaona noma mbele yako ndio maana anashindwa hata kukusemesha anaona ajikalie zake kimya kwanza.
heshima yako mkuu.
 
ahahahahhahah umeshaanza na vituko vyako my wee!
karibu tena!
u were missed!
heheheeeeee nimekutana na kuwa uyaone nyumbani kwangu mie nkayaleta hapa nikijua mepesi kumbe mazito, maana Babu DC kashanionya sisemi zaidi looh!!
asante my wee missed u too
 
Nimekusikia Babu sirudii tena looh sikujua kumbe hata wazee wakubwa wanafanya maana hata mie ni mzee mzee ila ni mzee kijana hahahahaaaa looh
Umeona na wewe mzee mwenzangu...

Eti watoto wanakaa sebureni na kusogoa wakati wazee wameshaenda nyumbani....

Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu....

cc: sakapal

Babu DC!!
 
Haujatuambia na nyie mlifanya nini usiku huo...hamkutoa nao droo???teh teh ila wewe unaonekana mtundu sana,,. ole wako nikujue..nitakuchekesha mpaka mwisho kabisa yatatutokea kama ya wakwe(my best part)........mshkaji akiacha kununa mtaendelea ...

hahahaaaa hujtulia wewe heheheeeeeeeee Dark City keshanionya nisilete feedback hapa ya kilichotokea ila kuwa migulu baja baada ya shuhuli ni kawaida kwangu.....
hahahaaaaa ikitokea ukanijua na mie ntakutania hadi unune maana kucheka mie ndo kwangu, saivi mambo safi mnuno umeisha aaagghhh nimejisahau kumbe Babu alinikataza hahahaaa unaona sasa usiniulize maswali mengi bana ntatoa siri buree
 
Last edited by a moderator:
mi nashangaa avatar.. wil b the one 2 change... ila, hiyo nyumba haina dali au wakwe walinogewa sana

wacha me nibadili avatar japo naipenda sana maana wewe waonekana wa tangu 2010, poa stay well
 
Tutatafutana best tena KIKUNGU nae awepo wakati huo maana nae anapenda sana groove back heheheeeee, (KIKUNGU) please dont quote me wrong this is idea comes from Karucee and I pass it to u..................unakumbuka ile thread ya tempted to touch uliniambia utakuja ukiwa umevaa pens mlege na t-shirt kubwaa tucheze ragga muffin from there I just imagine the way u get ur groove back................

Huu ndo uandishi gan hata katika majaribio ya kazi mnaandika hivi au huku unataka uonekane msomi wa ku kuchanganya kis & Eng?

Kama una amua kutiririka tiririka tu uta eleweka
 
Last edited by a moderator:
wacha me nibadili avatar japo naipenda sana maana wewe waonekana wa tangu 2010, poa stay well


Mimi nilidhani umeamua kuingia kivingine ila ukasahau kubadili sura....

Hata hivyo yote ni mema...

Hongera kwa kusikia ushauri wa wakubwa...

Babu DC!!
 
Mimi nilidhani umeamua kuingia kivingine ila ukasahau kubadili sura....

Hata hivyo yote ni mema...

Hongera kwa kusikia ushauri wa wakubwa...

Babu DC!!

Hapana Babu mie ni huyuhuyu na sijawahi badilika wala ongeza ID ingine, huyu wa sasa ni sakapal mwenyewe
Asante kwa ushauri nimutii na kuufata
pole na uchovu wa P Square
 
Hapana Babu mie ni huyuhuyu na sijawahi badilika wala ongeza ID ingine, huyu wa sasa ni sakapal mwenyewe
Asante kwa ushauri nimutii na kuufata
pole na uchovu wa P Square

P Square ni nani tena sakapal??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
P Square ni nani tena sakapal??

Babu DC!!

aaaah Babu bana usiniangushe wakati jana niliiona tukutuku yako pale uwanjani...................., au mjukuu wako aliiba tuktuk wakati umelala? au usikute ni bibi alienda kwa P Squre wewe huna habari???
hahahaaa hao ni wanamziki wa ki nigeria walikuja kutumbuiza jana kwenye viwanja vya lidaz.
Pia kusema babu hujawasha redio kusikia matangazo ya hao wanamziki? Pole kwa kupitwa jama hukwenda lidaz
 
Hahahahaha lol!!!! Mambo ya uchonganishi umeyaanza lini Babu Dark City!? Si aulizaye ataka kujua banaa? Sijatenda baya lolote lol!!!!


Hahahahahahahahah,

Ngoja nimwite mkubwa mwenzagu asome hapa....

Wapi Fixed Point??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom