Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
tatizo lako unapenda kucheka. mambo mengine cheka kimoyomoyo.
hahaaa wallah ata mimi nngecheka aisee!
tatizo lako unapenda kucheka. mambo mengine cheka kimoyomoyo.
Halafu ni Baba na Mama mkwe wake! huu ni ukosefu mkubwa wa heshima.
Pole lakini ni muhimu kujifunza tabia ya mumeo kama hapendi utani mwingi,ni bora uwe na kiasi.
Wakati mwingine pia inabidi kucheka kwa kiasi kwani wadada mna vicheko flani hivi ambavyo mtu unaweza kupata picha tofauti.
ha haaa, nimechekaje!Maneno yako ndiyo ushahidi wa kutosha kwamba kweli bado saaaana....
Ngoja niwaite wadau wenzangu wa 1947 wacheke kidogo.....
Fixed Point, Kongosho, Kaizer, Asprin, Blaki Womani...
Wewe umewapa wageni wa jinsia tofauti room halafu unapita pita kwenye anga zao??
Tena ukae kimya kwani wakijua ndo mwanzo wa kumiminiwa laana....
Babu DC!!
hahahaaaa umenikumbusha movie moja ya kimarekani ya zamani kidogo, ''stella got her groove back'' mie nahisi ntafikisha 90 nikiwa hai maana nnavopenda kutembezwa migulu baja.... we acha tuu
hapa sijasoma mdogo wangu....ILA MI HUWA HILI SWALI HALINITOKAGI WALAHI KILA NIKIWAONA COUPLE YA WAZEE!
ehehehhehhehehe
BADO WANAFANYAGAAAAA?
wanajipindaaaaa ?
ahahahhahahha
hii asisome Dark City na Fixed Point
hakuna kuchapana fimbo bana mi najiuliziaga tu af kimoyomoyo huwa hata sijawahi kumshirikisha mtu hili wazo!
hapa sijasoma mdogo wangu....
nasubiri babu Dark City atoe karipio
mmmmhhhh!mi yani nakuwaga nawaza tu kimfano yani!
yani ahahahhahahahhahahhahahhaa mi sijacheka dada mkubwa nawaza tu!
sa af picha yenyewe inagoma kuondoka ujue!
hata sijui nifanyaje itoke!
:A S 39::A S-confused1::noidea:
ha haaa, hao uliowataja hakuna ninayemwogopa.....
Maneno yako ndiyo ushahidi wa kutosha kwamba kweli bado saaaana....