,..mmeo b.w.e.ge,..na ukikaa vibaya utamegwa.
Sijafurahishwa na tabia yako ya ku - expose hii ishu kwenye mtandao hata kama tunatumia ID fake! Hii tabia ilaaniwe kwenye taasisi nyeti kama ndoa!
Sijafurahishwa na tabia yako ya ku - expose hii ishu kwenye mtandao hata kama tunatumia ID fake! Hii tabia ilaaniwe kwenye taasisi nyeti kama ndoa!
hahahaaaa umenikumbusha movie moja ya kimarekani ya zamani kidogo, ''stella got her groove back'' mie nahisi ntafikisha 90 nikiwa hai maana nnavopenda kutembezwa migulu baja.... we acha tuu
hahaaa kusema baba mkwe yuko fit looh wacha ncheke kimoyomoyo heheheee
Halafu ni Baba na Mama mkwe wake! huu ni ukosefu mkubwa wa heshima.
Nakubaliana nawe mkuu.