He KIKUNGU must be very naughty. Mie aliniambiaga tukavute weed nikiwa nimevaa khanga moko. LolsTutatafutana best tena KIKUNGU nae awepo wakati huo maana nae anapenda sana groove back heheheeeee, (KIKUNGU) please dont quote me wrong this is idea comes from Karucee and I pass it to u..................unakumbuka ile thread ya tempted to touch uliniambia utakuja ukiwa umevaa pens mlege na t-shirt kubwaa tucheze ragga muffin from there I just imagine the way u get ur groove back................
Hapana kuna gypsum na mlango umefungwa sema sauti tulizokuwa tunaskia kwenye korido tulijua labda wanaomba msaada maana ni wazee heee!! kumbe wanakula tunda ikabidi nitangulie mbiombio room na hubby alifuata. Mie sikuona tatizo na wala haikunisumbua akilini hata kama wangekuwa wazazi wangu, kumbe mwenzangu imemuumiza akili hata alipoliongele atukiwa room mie nikaangua kicheko maana nilireclaa zile sauti na nikavuta taswira walivyo wazee daaah kweli ng'ombe hazeeki maini hahahaaaa
Huyo mumeo anahitaji kurudi class,
Dawa ya moto ni moto....alitakiwa naye adunde mzigo ili kuprove kwamba ujana ni asset nzito...
Kulia lia inaweza kuwa ishara kwamba he is threatened by dady...lol!!
Babu DC!!
Kuna kitu hy jamaa yako hajakielewa hapo wazee wamebadilisha mazingira kwa hy wanakumbukia honey moon yao enzi hizooo hahahaaaaa nakusaidia kumcheka!!!
We binti ndio nini kuja kutulipua huku JF na ukongwe wetu wote huu...
Haya ngoja tuondoke nyumbani kwenu turudi ushagoo naona vijana wa siku hizi mmekosa adabu, mnasimulia namna wazazi wenu wanavyongonoka hadharani bila hata aibu
hahahaaaaa ashakum matusi babu nitamuunganisha na weye umpe darasa alilolikosa hata kuninunia
Ila mbona ananipelekesha migulu baja kila baada ya shuhuli, yaani nakuwa kama nasimama dede.............. mie nimemvulia kofia ukorofi wangu tuu ndo ulinifanya niondoke kwenda kwa Obama ila ananiperekesha puta au ndo kusema ntakuwa napelekewa moto hadi nikizeeka kama wakwe hahahahaaaaa
Babu hatujafanya tabia mbaya ni ramani ya nyumba imetulazimu kupita hapo kuelekea chumbani kwetu. Pia hatukuwa na wasiwasi wa kuwahi kulala maana tuko kwetu na hatukujua kama watacheza mechi ya ugenini hahahaaaaLakini pia hawa wenyeji nao walikosa adabu....
Kwa nini wakatize kwenye viwanja vya wenzio mida mibay ambao most likely watu wanaweza kuwa wanadanya tizi??
Babu DC!!
Babu hatujafanya tabia mbaya ni ramani ya nyumba imetulazimu kupita hapo kuelekea chumbani kwetu. Pia hatukuwa na wasiwasi wa kuwahi kulala maana tuko kwetu na hatukujua kama watacheza mechi ya ugenini hahahaaaa
Saa ingine nashindwa kuwaelewa wanaume kabisa sjui ni wivuu au alitaka nilie badala ya kuchekaa.............. puzzled!!:A S confused:
Theory ya somo fulani ni muhimu kama ambavyo practicals nazo ni muhimu pia....
Ndiyo maana kuna watu ni mafundi wazuri wa magari ambayo hata hawajui A, B, C ya jinsi yalivyoundwa....
Ila ukiweza kuwa mbunifu na mtengenezaji wa kitu basi hiyo combination ni supper....
Hata hivyo mshukuru Mungu kwani mshikaji wako ana kile ambacho wengi hukikosa na hawawezi kukipata darasani au kwa jirani....hayo mengine (theory) tunaweza kumpiga shule akafikia viwango na kutisha kama C. Ronaldo au L. Messi!!
Babu DC!!
Hapana kuna gypsum na mlango umefungwa sema sauti tulizokuwa tunaskia kwenye korido tulijua labda wanaomba msaada maana ni wazee heee!! kumbe wanakula tunda ikabidi nitangulie mbiombio room na hubby alifuata. Mie sikuona tatizo na wala haikunisumbua akilini hata kama wangekuwa wazazi wangu, kumbe mwenzangu imemuumiza akili hata alipoliongele atukiwa room mie nikaangua kicheko maana nilireclaa zile sauti na nikavuta taswira walivyo wazee daaah kweli ng'ombe hazeeki maini hahahaaaa
Asante Babu naona kakusikia huku, kanivuta kiuno wacha nikashikamane naona mnuno utaishia leo waswahili wanasema ukishikwa shikamana, abeeee nakujaaaaaa
Maneno yako ndiyo ushahidi wa kutosha kwamba kweli bado saaaana....
Ngoja niwaite wadau wenzangu wa 1947 wacheke kidogo.....
Fixed Point, Kongosho, Kaizer, Asprin, Blaki Womani...
Wewe umewapa wageni wa jinsia tofauti room halafu unapita pita kwenye anga zao??
Tena ukae kimya kwani wakijua ndo mwanzo wa kumiminiwa laana....
Babu DC!!
.......mnh?! I bet hao wazee wamewafanyia makusudi next day mkalale mapema, in other words..... Wame fake sauti tu!
duuuhhhh!!!!:tape::tape: naogopa laana aiseee