Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi


Aaaargh kumbe ulikuwa unaweka ligi ya kipuuzi. . . . .haya salam zao
 
Ana basi mpya zinapiga route za Mwanza Kampala,Kampala Mwanza kila siku na zina mwendo kama zimebeba meno ya tembo.

Pale nyakato anakaa mtaa gani?. Au ndio huyu anayekaa mitaa ya nundu.? Weka Picha yake nitakupa taarifa zake
 

Tatizo ni serekali kuwa mikononi mwa watu ndo maana wanakua hawaogopi wala kutetereka ktk kufanya maovu
 
Tunaona vibaka wakiuliwa kila siku na mpaka kuchomwa moto.

Tunataka tujuwe upande wa pili wa shillingi, kwanini amewapiga risasi?

We kilaza nini...unataka ujue upande upi sasa na kuchomwa moto unaona ni halali.
 
umesahau ya mwangosi, pinda pia alisema wapigwe tu...



Mhhhh! Hata Kikwete hawezi na haitatokea kujiamuria na kupiga mtu risasi, sembuse raia wa kawaida?? Hakuna haja ya upande wa pili wa shilingi, maana huo upande haupo tena duniani.
 
Tunaona vibaka wakiuliwa kila siku na mpaka kuchomwa moto.

Tunataka tujuwe upande wa pili wa shillingi, kwanini amewapiga risasi?

Nadhani ukishajua upande wa pili ndo utatambua upande gani ulikuwa kosa,c ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…