Heshima mbele wakuu, mtakubaliana na mimi kwa mliokwisha fika ktk hotel hii ya Malaika Mwanza kuwa viwango vyake ni vya hali ya juu sana, the hotel is in the off shores of lake Victoria, a state of art hotel, accomodation one night is Usd 150. Huu ndo uwekezaji tunaotaka kuuona ukifanyika nchini lakini pia serikali ipate kodi na vijana ajira. Sasa swali ni je muwekezaji huyu ni nani???