Nchi ipi ni muanzilishi na mmiliki halali wa jina Guinea?

Infropreneur

JF-Expert Member
Aug 15, 2022
5,246
10,718
Kati ya Equitorial Guinea , Guinea , Guinea Bissau na Papua New Guinea

Nani ni mmiliki halali na muanzilishi wa jina Guinea?

Asili ya jina Guinea ni ipi?

Chanzo cha jina Guinea ni kipi?

Ilikuwaje nchi zote nne zikatumia jina moja Guinea lenye mfanano kwa wote?

Nchi ya Papua New Guinea inapatikana Oceania mbali kabisa na bara la Afrika.

Nchi zilizosalia za Guinea, Equitorial Guinea na Guinea Bissau zipo Afrika.

Who is the real owner of "Guinea" between Equatorial Guinea, Guinea, Guinea Bissau and Papua New Guinea?

Wanahistoria....
 
Wewe Infro ni mmoja wa wa Guinea.

Yaani unafit kabisa, category- umechanganyikiwa kifikra kabisaa, sawa na mtu anayesumbuliwa na laana.

Kwanini usiwaulize wenzako wenye Laana ya milele?
 
Tafuta nchi yoyote iliotawaliwa na portugal hapo ndio ya kwanza....hilo jina asili yake ni senegal uko

Lakini
Equatorial guine imetawaliwa na spain
Guinea bissau france

Tafuta izo mbili bila shaka atakuwa guinea ndio owner wa jina
 
Hujibu kilicho ulizwa, unajibu usivyo ulizwa.

Wewe ndio ume changanyikiwa. Unajibu vitu nje ya mada.
Ndio nimesema wewe ni sawa na Guinea.
Unakataa hilo?

Hiyo Guinea si ipo kwenye mada.

Laana hiyo ya ki Guinea inakumaliza.
 
Tafuta nchi yoyote iliotawaliwa na portugal hapo ndio ya kwanza....hilo jina asili yake ni senegal uko

Lakini
Equatorial guine imetawaliwa na spain
Guinea bissau france

Tafuta izo mbili bila shaka atakuwa guinea ndio owner wa jina
Vipi Papua New Guinea iliyopo Oceania (Australia) mbali kabisa na Afrika?

Ilikuwaje jina hili likafika huko?
 
experiments hatarishi zinazoweza sababisha kifo au madhara makubwa watu hao waitwe "Guinea pigs"

Matokeo yake ndio huyu Infropenuer.

Ni laana tupu.

Unafikiri ni kwanini ameuliza swali ambalo jibu lake linapatikana kwenye vitabu vya Darasa la Tano?

Aje aungane na Laana wenzake waje kutukana tu.
 
1

Jina la "Guinea" lilitokana na jina la kale kwa ajili ya sehemu kubwa ya upande wa kusini ya Afrika ya Magharibi likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya kiberber.

Mnamo karne ya 15, mabaharia wa Kiarabu na Wazungu walianza kutembelea pwani ya Afrika Magharibi. Walikutana na watu weusi wenye ngozi nyeusi, ambao walikuwa tofauti na watu wengine ambao walikuwa wamekutana nao hapo awali. Walianza kuita eneo hilo "Guinea," ambalo linamaanisha "nchi ya watu weusi" katika lugha ya Kiberberi.

Jina la "Guinea" lilitumika kwa muda mrefu kurejelea eneo kubwa la Afrika Magharibi. Hata hivyo, kwa muda, lilianza kutumika kurejelea nchi mahususi. Leo, jina "Guinea" linatumika kwa ajili ya nchi tatu za Afrika: Guinea, Guinea-Bisau na Guinea ya Ikweta.

Kuna nadharia nyingine za asili ya jina "Guinea." Baadhi ya watu wanaamini kwamba inatoka kwa jina la ufalme wa kale wa Ghana. Wengine wanaamini kwamba inatoka kwa neno la Kireno "guineu," ambalo linamaanisha "dhahabu."

Haijalishi asili halisi ya jina "Guinea" ni nini, ni neno ambalo limetumika kwa karne nyingi kurejelea eneo la kipekee la Afrika.

Sources

info

sw.wikipedia.org/wiki/Guinea_(kanda)

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Vipi Papua New Guinea iliyopo Oceania (Australia) mbali kabisa na Afrika?

Ilikuwaje jina hili likafika huko?
Ishu ni watawala tu jibu hili hapa
👇👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20240123-004335_Samsung Internet.png
    Screenshot_20240123-004335_Samsung Internet.png
    69.9 KB · Views: 3
1

Jina la "Guinea" lilitokana na jina la kale kwa ajili ya sehemu kubwa ya upande wa kusini ya Afrika ya Magharibi likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya kiberber.

Mnamo karne ya 15, mabaharia wa Kiarabu na Wazungu walianza kutembelea pwani ya Afrika Magharibi. Walikutana na watu weusi wenye ngozi nyeusi, ambao walikuwa tofauti na watu wengine ambao walikuwa wamekutana nao hapo awali. Walianza kuita eneo hilo "Guinea," ambalo linamaanisha "nchi ya watu weusi" katika lugha ya Kiberberi.

Jina la "Guinea" lilitumika kwa muda mrefu kurejelea eneo kubwa la Afrika Magharibi. Hata hivyo, kwa muda, lilianza kutumika kurejelea nchi mahususi. Leo, jina "Guinea" linatumika kwa ajili ya nchi tatu za Afrika: Guinea, Guinea-Bisau na Guinea ya Ikweta.

Kuna nadharia nyingine za asili ya jina "Guinea." Baadhi ya watu wanaamini kwamba inatoka kwa jina la ufalme wa kale wa Ghana. Wengine wanaamini kwamba inatoka kwa neno la Kireno "guineu," ambalo linamaanisha "dhahabu."

Haijalishi asili halisi ya jina "Guinea" ni nini, ni neno ambalo limetumika kwa karne nyingi kurejelea eneo la kipekee la Afrika.

Sources

info

sw.wikipedia.org/wiki/Guinea_(kanda)

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Afrika watu wote ni weusi, iweje nchi tatu tu ziitwe Guinea kwamba ndizo zilizokuwa na watu weusi tu kwa wakati huo?

Kwani hao wazungu na waarabu si walifika pia nchi nyingine za Afrika zenye watu weusi?

Kabla ya wazungu hao na waarabu kufika hizo nchi na kuziita "Guinea" majina ya asili ya hizo nchi ni yapi?
 
"Walikutana na watu weusi wenye ngozi nyeusi, ambao walikuwa tofauti na watu wengine ambao walikuwa wamekutana nao hapo awali."

Back
Top Bottom