Mmhh!

Mmhh!

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
middle-east-in-deep-shit-wallpaper.jpg
Tanzania nimeikosa.....
 
Uchokozi huo...
Embu lete ile nyingine yenye TZ...
 
tehetehe!hi kali!tz inawezekana hawakuichora kabisa!
 
Tz is in deep fcknshit kilakitu kwetu ni shit mikataba mibovu,rushwa that why we're in deep fcknshit
 
WUUU....Wi,TZ is sunk,labda tufanye bonge la bisection! Dah,hii kali mpaka mbavu zimeniuma.
 
Somalia na kile KIPEMBE chake, ndiyo imo ndani kabisa, hahahaaaaa........

Yemeni pia inafaidi. Madascar? Tanzania bara walau ina nafuu ila Zanzibar na Comoro? Ndiyo maana hadi Tundu Lisu kawahurumia na kasema waachiwe mafuta wachimbe na wapate kipato maana wako inside......
 
ipo kwenye joto kali, inapumuliwa na gesi yenye kabon monoksaid a.k.a rushwa, mafisadi, wezi etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom