Mmh..!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,791
.
IMG-20181209-WA0009.jpeg
 
Dah, ila bora rushwa kuliko risasi Mkuu, unaonaje?
Ni walewale tuu, unapewa rushwa ukigoma unakula shaba... Hapa kilichobadilika ni mbinu tu... Huyu anafanya kwa kificho kwa kuzuga, huyu ni direct moja kwa moja on the spot
 
Ni walewale tuu, unapewa rushwa ukigoma unakula shaba... Hapa kilichobadilika ni mbinu tu... Huyu anafanya kwa kificho kwa kuzuga, huyu ni direct moja kwa moja on the spot
Ha ha ha haaaa... Plata o plomo..

Kuna mdau mmoja kasema kwa jinsi anavyoifahamu CCM tusishangae 2020 rais akawa Musiba.
 
Mshana Jr shida ninayoona katika nchi yetu. Ni kuwa ukiwa madarakani mawazo mbadala kwako ni uadui !!.
Mkuu wetu awatumikie wananchi, awache wenye mawazo tofauti waendelee na maisha yao.
Kukichwa kutambazuka... Japo kabla ya alfajiri giza huwa totoro...
IMG-20181209-WA0035.jpeg
 
Back
Top Bottom