Hahaha dah mpk na masket ya charanga..Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
wewe mshana ww..unataka kuuanza mwaka vbaya,,ngoja waje wenyewe !!@Hiyo mbeya ya mwaka 80s labdaKwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
Acha uongo .....Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!


