Naona hutawasahau wasukuma tangu siku ileee!Me Nilijua Wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo mbeya ya mwaka 80s labda
Acha uongo .....
Brother brother,
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Miaka ya 80 Mbeya ilikuwa kwenye miaka ya 50. Leo hii dunia inaongelea mwaka wa 2017 lakini kwa Mbeya wako 1970. Kule ni dunia nyingine, Wanapashwa kuwa na kalenda yao tofauti na dunia nyingine.
Chris Lukosi ni Mhehe, na Wahehe na Wanyakyusa ni watani, so alikuwa akifanya utani wa jadi.hii picha niliiona kwenye a/c ya CHRIS LUKOSI kule facebook nilicheka sana!