Mmh

Mmh

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,723
Reaction score
858,386
7
IMG-20161229-WA0023.jpg
 
hii picha niliiona kwenye a/c ya CHRIS LUKOSI kule facebook nilicheka sana!
 
Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
Hahaha dah mpk na masket ya charanga..
Au ndo wanachambua kama karanga..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mshana ww..unataka kuuanza mwaka vbaya,,ngoja waje wenyewe !!@
 
Kwa Mbeya wala hushangai. Na usikute wanaogelea na jeans trousers ama ma skirt ya charanga. Mbeya ni dunia nyingine ille kwa kila kitu!
Hiyo mbeya ya mwaka 80s labda
 
mshana jr hiyo picha sio Haiti kweli? Wajomba zangu hawajafikia hivi kwa kweli!
 
Nahisi chato hapo umeogopa tu kusema mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom