Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
Sisi watu wazima ngoja tukimbie tu hili jukwaa.
Eee Mungu mwingi wa rehema unusuru watoto wetu wasiwe wa aina hii kwani hayana future yo yote.
<br />Kwa walio gonga mihuri wanadai mtoto yuko fit katika idara ya kujituma na akilewa ndio hakulaliki kabisaa lol!
<br />Lugha ya staha kidogo,kuna uvumi pia anatumia laini 3 siku hizi ( simu bana kwani wewe ulidhani nini ? ) hahahaha!
Lakini mbona tumbo lake linasema tofauti.Kwa walio gonga mihuri wanadai mtoto yuko fit katika idara ya kujituma na akilewa ndio hakulaliki kabisaa lol!
Hapa sikubaliani na wewe kabisaaaaaa, unataka kusema watoto wenye kulelewa na wazazi wa2 sio watundu? Kuna article nilisoma hivi karibuni inasema watoto wenye kulelewa na mzazi mmoja (hasa kama ni wa kike) wana develop spirit on independance na a better respect for women sababu wanaelewa women can do just as good as men.Malezi ya Mzazi mmoja ya matatizo yake - na huyu binti ni matokeo ya kulelewa na Mama peke yake!
,Malezi mabovu sana hayo!
<br />Hivi hakuna ndugu wa haka kabinti wanaoweza kukaokoa?
Hapa sikubaliani na wewe kabisaaaaaa, unataka kusema watoto wenye kulelewa na wazazi wa2 sio watundu? Kuna article nilisoma hivi karibuni inasema watoto wenye kulelewa na mzazi mmoja (hasa kama ni wa kike) wana develop spirit on independance na a better respect for women sababu wanaelewa women can do just as good as men.
Malezi mabaya ni kote tu.
Hapa sikubaliani na wewe kabisaaaaaa, unataka kusema watoto wenye kulelewa na wazazi wa2 sio watundu? Kuna article nilisoma hivi karibuni inasema watoto wenye kulelewa na mzazi mmoja (hasa kama ni wa kike) wana develop spirit on independance na a better respect for women sababu wanaelewa women can do just as good as men.<br />
Malezi mabaya ni kote tu.
Yeah, you are right! Hivi yule VEMA anao wote wa2 enhe?